Tuliowahi kulala Sero/lock up kwa ujinga

tehteh ilkua arusha bana nliingilia msafa wa first lady mama kikwete
nlkua natabia ya kuiba gari hom af napiga misele kiipindi io nko om nasubiria matokeo ya form4
nlsimamishwa na trafk nkaogopa,nkaliunga kumbe na msafara ndo unataka kuingia barabaran
nlshangaa nmeblokiwa mbele ile nashangashangaa kioo cha upande wa dereva kikavunjwa nkatolewa kuptia palepale dirshan mda uo nshapigwa ngumi ka milioni iv nkarushwa kwe defender nkalazwa chini polisi wakasimama juu yangu sjui nlzimia sjui nlkata network maana nliamka nko lockup na manundu ka30 iv nlkaa siku3 na hospital siku3 pia

mshua ilbidi anisamehe tuu na alkua mkali balaa
 
hahhhaaaaa
 
Kuna wakati polisi una burgain nao khsu hela
Watanza 50000/ mwishoni hadi buku 10 watachkua

Ova
Mkuu umenikumbusha mbali sana kuna siku nimeingia kwenye kumi na nane zao wazee wakakomaa wanataka million sita na hapo mwanaume Nina elfu themanini mfukoni ila tukabargain mpaka wakala elfu thelathini tu[emoji3][emoji3][emoji3].
 
Bora ubaki nazo kuliko kutapeliwa asee...maana hiyo fedheha dooh!
Daah ...historia tamu kinyama

Wanaume wasafi, wazuri zuri ni vimeo kiwango cha lami

Hata akiwa mumeo ndani ni bure tuu

Namuona sista angu yanavyomkuta kisa HB
Hahahaha
Yaani bora nipambane na hali yangu kuliko hawa viumbe wanaume.
Ila sikomi tu.
Mpaka kieleweke
 
Mkuu pole sana
 
haaahaaaa sikuwez wifi yake mtu. uko wazi wifi ashindwe mwenyewe kukusemea kwa kakake
 
haaaahaaaaa pole sana
 
Ndugu yetu TRUE TANZANIAN, ninaomba uwendeleze simulizi ya ule ushuhuda wako. Umetueleza vizuri namna ulivyo ingia mtaani lakini hujatujuza namna ulivyotoka mtaani mpaka kufikia uwezo wa kuwa mahiri katika uandishi kama jinsi maandiko yako yanavyoonekana.

Tujulishe pia mpaka kufikia kuishi na mama wa kambo mama yako mzazi alikuwa wapi maana sisi kama vijana lakini pia ni wazazi hivyo tunajifunza mengi kupitia historia za watu kama nyinyi.
 
Pole sana haikuwa umalaya ila ni utoto, Malaya hachagui wewe ulimuamini kutokana na muonekano wake, hata hivyo mtu hujifunza kutokana na makosa
 
Doh aisee Pole sana ila story yako imetufundisha kitu na sie wengine
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…