Planett
JF-Expert Member
- Mar 20, 2014
- 10,424
- 15,978
hahhahahhahhaha mkuu nakuona hapo kwenye avatar ndio unalia hadi leo... pole sana kwa matatizo yakoDaah mi sikukopesha bwana... Ila nilikuwa na pikipiki boda ... Nikawa nimeenda Kenya one time kwa mshikaji tulipiga naye chuo SAUT .... nilipofika kule nikapata mbishe moja halafu kipato sina... Nikamwambia jamaaa msela tunapiga naye kazi oyaa sukuma hiyo tuku 1.5M nitumie 1.3 M , laki2 mpe maza house ili tupige gap la kodi halafu 100 baki nayo daaah..... Nilitumiwa 1M tu... Oooh mwanangu aliumwa kikaenda kikarudi nitakutoa tu babu ..... Heeee kidogo jamaa kapata uhamisho wa kujiombea ndio nitoleeee aseeee