Tuliowahi kuimbishwa na tukaimba huo wimbo wa “Kambona kaolewa huko Ulaya” tutubu sasa

Bendera ya taifa Ina rangi kuu nne..

Kijani njano buluu ,

Nyeusi ni waafrika ..

Tlaatlaah

Tuna Imani na kikwete

Oya oya oya..

Kikwete kweli kweli ...

Kweli kweli kweli kweli kikwete

Na sijapata kazi usalama wa taifa ...
🤣🤣kwahiyo ulikua unaimba kwa sauti kubwa na bidii sana ee ofsa Light saber 🤣

kwahiyo afisa wa tiss ameachwa kitaa anazurura tu
 
🤣🤣kwahiyo ulikua unaimba kwa sauti kubwa na bidii sana ee ofsa Light saber 🤣

kwahiyo afisa wa tiss ameachwa kitaa anazurura tu
Walikuja kuniua kabisa na kuniteketeza the moment I shook my hands with Jk nikiwa standard 4 gadeimm ..

I'm the next right hand man of mista presidaaaa .. nikaongeza bidii kuzijua hadi mito, Maziwa mikoa na viongozi wa inchi ...

Niritembea Kifua mbere .

Sadly Kila nilipoenda nilijivuna in the end kumbe nilkuwa zwazwa .. nlikuwa mnanicheka 🤣🤣🤣🤣🤣 .

Ase ase ase ase hapana ...

Power power power power ,
 
Lakini ziko njema sana kayumba saivv mkuu na zinakimbiza vizuri tu,
Serikali imejipanga sana aise kwenye hilo
Mambo ya dogma and indoctrination mimi siyataki .

Nipo hapa Kwa sababu hiyo , ukitoka pangoni unakutana na conflicts za kutosha /conflicts binafsi ..

Nipo stuck katikati kama stiki ya mshkaki
Ni kiatu pekee inajua stori
 
Inasemekana pia alikuwa akiomba omba nauli kwa wale wahuni wa kariakoo kila anapokuja mjini kwa miguu akitokea pugu.
Yule jamaa JKN alikua muwazi sana, alikua haoni haya kuomba asichokua nacho na ndio maana alifika kokote alikotaka kufika kirahisi japo pia kasota sana nyakati alizokosa alilichohitaji...

Na hii inatufundisha kua uoga wako ndio umaskini wako 🐒
 
yule jamaa JKN alikua muwazi sana, alikua haoni haya kuomba asichokua nacho na ndio maana alifika kokote alikotaka kufika kirahisi japo pia kasota sana nyakati alizokosa alilichohitaji...

na hii inatufundisha kua uoga wako ndio umaskini wako 🐒
Nimependa mindset yako , Kwa ufupi jamaa alikuwa Genius , he played them , .

Alijifanya mjinga akawawin over alipopata alichokuwa anakitaka akaonyesha makucha .

Yote ya yote ..

Kwangu ni Moja ya watu smart zaidi kuwahi kutokea duniani ..

Leo Hii watu zaidi ya milioni sitini na Moja tunalicheza sebene lake .
 
Walikuja kuniua kabisa na kuniteketeza the moment I shook my hands with Jk nikiwa standard 4 gadeimm ..

I'm the next right hand man of mista presidaaaa .. nikaongeza bidii kuzijua hadi mito, Maziwa mikoa na viongozi wa inchi ...

Niritembea Kifua mbere .

Sadly Kila nilipoenda nilijivuna in the end kumbe nilkuwa zwazwa .. nlikuwa mnanicheka 🤣🤣🤣🤣🤣 .

Ase ase ase ase hapana ...

Power power power power ,
still you have a chance,
Ondoa woga vaa ujasiri,

kama bado una nia na unataka ajira serikalini ni mambo mawili tu,
1. Omba zinapotangazwa
2.visiti and confront office determent or institution bosses phisically with full confidence like a crazy tell them the truth, and you will make it...

Kama unataka kujiaajiri mwenyewe basi nako kuna mambo mawili tu rahisi kukutoa kimaisha,
1. kilimo na
2. biaashara ..
Mungu akubariki sana na Asante nimefurahi sana na early age story yako 🤣
 
Nimependa mindset yako , Kwa ufupi jamaa alikuwa Genius , he played them , .

Alijifanya mjinga akawawin over alipopata alichokuwa anakitaka akaonyesha makucha .

Yote ya yote ..

Kwangu ni Moja ya watu smart zaidi kuwahi kutokea duniani ..

Leo Hii watu zaidi ya milioni sitini na Moja tunalicheza sebene lake .
uko sahihi 🤣
but pia kuzubaa kwenye sebene lake kwasasa it depends na mtu mwenyewe. Akiamua kutoka anatoka tu, akiamua kuendelea kusulubishwa na sebene ndio hivyo tena hamna namna ingine...
 
still you have a chance,
Ondoa woga vaa ujasiri,

kama bado una nia na unataka ajira serikalini ni mambo mawili tu,
1. Omba zinapotangazwa
2.visiti and confront office determent or institution bosses phisically with full confidence like a crazy tell them the truth, and you will make it...

Kama unataka kujiaajiri mwenyewe basi nako kuna mambo mawili tu rahisi kukutoa kimaisha,
1. kilimo na
2. biaashara ..
Mungu akubariki sana na Asante nimefurahi sana na early age story yako 🤣
Mungu akubariki pia.
Karibu brother .

Hapo kwenye woga Sasa .

Nje ya mada unapambana vipi na kufeli? Kushindwa kufikia expectations?
 
Mungu akubariki pia.
Karibu brother .

Hapo kwenye woga Sasa .

Nje ya mada unapambana vipi na kufeli? Kushindwa kufikia expectations?
kufeli ni hatua muhimu mno kufikia expectations zako,

kushindwa plan A kunakufanya uopt plan B au C,
na kunasaidia kucreatea more possible alternatives kufikia expectations

Hata na hivyo msingi wa yote haya ni kuondoa woga na kuvaa ujasiri na uthubutu...
 
Nyerere angekuwa smart cha chake kisingerithiwa na wahuni wanaouza nchi sasa .

Nyerere hakuwa smart na ndio maana alikufa maskini akiwaacha wahuni wakila na kufuja mema yote ya nchi.

Kambona alikuwa smart kuliko Nyerere aliyepewa hisani na wajanja wa kariakoo 😂
Je Kambona u smart wake uko wapi? Ni nini alichokiacha duniani? Wako wapi wanaye na mali zake?

Nyerere hakuwa fisadi. Mobutu alikuwa fisadi, je baada ya wote kutokuwapo duniani nionyeshe mali za Mobutu zilipo?

Wewe hujakomaa kujadili mada za kisiasa ndiyo maana unamlaumu Nyerere kwa makosa ya viongozi wa sasa. Nyerere amekufa 1999 na baada ya hapo wamekuja marais 4, ila jinsi ulivyo pimbi unaona niakosa ya Nyerere
 
Je Kambona u smart wake uko wapi? Ni nini alichokiacha duniani? Wako wapi wanaye na mali zake?
Ungejua sababu ya kusambalatika kwa AZIMIO LA ARUSHA na kupotea kwa sera ya UJAMAA NA KUJITEGEMEA ungekili wazi hapa kuwa Kambona alikuwa smart na aliona ya mbele, hayo mambo (AZIMIO LA ARUSHA & UJAMAA NA KUJITEGEMEA) yalipingwa wazi na Kambona, ila Nyerere aliyapigania. Hebu niambie yako wapi ama yaneifikisha wapi nchi yetu?
Nyerere hakuwa fisadi. Mobutu alikuwa fisadi, je baada ya wote kutokuwapo duniani nionyeshe mali za Mobutu zilipo?
Kama Nyerere hangekuwa fisadi basi CCM isingekuwa na mafisadi, huyo mnayemuita baba wa taifa ndiye kaifikisha nchi yetu hapa ilipo, wizi na ufisadi viliasisiwa na mwalimu Nyerere kwa kupora mali za umma na kuzimilikisha kwa chama chake.

Mobutu alikuwa pia fisadi ila mali aliimilikisha watu wa familia yake, ni kama ilivyo tu kwa warithi wa Nyerere wamemilikishana vizazi na vizazi leo hii tupo awamu ya 6 mwendo ni ule ule wa kupola na kuzimilikisha mali za umma.
Wewe hujakomaa kujadili mada za kisiasa ndiyo maana unamlaumu Nyerere kwa makosa ya viongozi wa sasa. Nyerere amekufa 1999 na baada ya hapo wamekuja marais 4, ila jinsi ulivyo pimbi unaona niakosa ya Nyerere
Wewe uliye komaa kujadili mada za za kisiasa lazima umuone Nyerere ni Mungu mtu kwako kwa sasa bado umejazwa ujinga wa Nyerere.

Alichokitengeneza Nyerere ndicho kimerithiwa na hao waliopo madarakani sasa, siasa za maji taka zote hizo ni matunda ya Nyerere, ikiwa Nyerere hangekuwa na mpango nazo hizo siasa za maji taka basi angezisambaratisha kabla hajatoka madarakani alikokaa miaka 24 😁

Alituachia katiba inayomfanya rais awe untouchable president hata kama ataboronga akiwa madarakani ama nje ya madaraka.

Pamoja na uzee wako bado ulivurugwa afya ya akili yako hivyo unamuona Nyerere alikuwa mzalendo wakati aliiba na kujilinda binafsi huku akiwanaga kina Kambona kuwa ni vibaraka wakati na yeye alikwenda kufika kwa hao hao mabeberu.

Nikushauri tu hivi acha kuwa mjinga kwa faida ya kizazi chako kijacho.
 
Nimependa mindset yako , Kwa ufupi jamaa alikuwa Genius , he played them , .

Alijifanya mjinga akawawin over alipopata alichokuwa anakitaka akaonyesha makucha .

Yote ya yote ..

Kwangu ni Moja ya watu smart zaidi kuwahi kutokea duniani ..

Leo Hii watu zaidi ya milioni sitini na Moja tunalicheza sebene lake .
Na kuna watu wanamsifiaga mno na kumuita baba wa taifa 😔
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom