sky walker
JF-Expert Member
- Feb 3, 2018
- 1,160
- 834
sasa mkuu ukitaka kutoa pesa kwa mpesa ina chuku mda gani hadi kufika.ANZA NA MTAJI WA BURE WA $30 [NO DEPOSIT BONUS] YA TEMPLER.
[TERMS AND CONDITIONS LINKED]
Huenda ushatumia demo lakini uko na tatizo la mtaji... Au wengine, kama mimi, tumeunguza akaunti, jinsi ya kuanza tena ni ngumu, hasa linapokuja suala la mtaji....
Ikumbukwe kwamba, Templer pia atakupa uwezo wa kufund na kuwithdraw pesa zako kupitia Mpesa, kama utachagua kuendelea kumtumia, hata baada ya kupoteza hyo $30.
(Don't Worry, Hautodaiwa kama ukiiunguza)
ANGALIZO:
Bonus hii ni kwa wateja wapya tu, kama ulishakuwa na akaunti ya Templer na ukaiwekea pesa, hautoweza kuipata, labda ufungue akaunt tofauti.
HATUA ZA KUFUATA:
1. Fungua akaunti mpya hapa:
Templer FX | Start with $30 No deposit Bonus
2. Verify email, namba ya simu (ni bora iwe voda, kwa ajili ya kutoa faida na kuendesha akaunti) na utambulisho wako.
Menu > MyTemplerFX> Verifications
3. Nenda MENU > OPEN ACCOUNT > chagua LIVE UNIVERSALFX > ok
4. Nenda Menu > Bonus > chagua akaunti yako ya universalFX, WEKA REDEEM CODE:
NDB30JN42017
Then submit.
5. Utapokea $30 katika akaunti uliyoifungua, mara nyingi within an hour.
6. Kama huna MT4 for Android ,download hapa:
https://play.google.com/store/apps/details?id=net.metaquotes.metatrader4
Start Trading!!
TRADE SAFELY!
Ukihitaji msaada wowote kuhusu kuipata hii bonus, nicheck inbox
Terms And Conditions hapa:
TemplerFX No Deposit Bonus Agreements
Inategemeana na kiasi unataka kutoa, $20 itawah zaidi kufika kuliko $100.sasa mkuu ukitaka kutoa pesa kwa mpesa ina chuku mda gani hadi kufika.
na mbona sioni option ya ku withdraw kwenye templer
na kwenye bonus mi sijaelewa ni kuwa mfano ukafikisha dollar mia 300 utaruhusiwa kutoa yote au wana kiwango maalumInategemeana na kiasi unataka kutoa, $20 itawah zaidi kufika kuliko $100.
Option ya kuwithdraw ipo katika Menu > Finance > Withdrawals
Soma 6.5. Ni $100 tu max.na kwenye bonus mi sijaelewa ni kuwa mfano ukafikisha dollar mia 300 utaruhusiwa kutoa yote au wana kiwango maalum
asante na vipi kuna jamaa ameweka namba tigo na anataka abadili aweke ya voda inawezekana kweliSoma 6.5. Ni $100 tu max.View attachment 751677
Menu >myTemplerFX > security >change phone numberasante na vipi kuna jamaa ameweka namba tigo na anataka abadili aweke ya voda inawezekana kweli
Ndio njia pekee ya kudepositunaweza ku deposit kwa m pesa kweli
hebu nipe njia kamili ya ku deposit, na huwa inachukua mda ganiNdio njia pekee ya kudeposit
Menu > finance > deposit then utajaza kama picha hapo... 5 ni amount ya mfano.. Ukibinya deposit, utafuata hatua zinazofuata... Huchukua kuanzia dk5 hv, kuona balance kwa akaunt. Binafsi haijawah kuzidi 30mins cjaona balance.hebu nipe njia kamili ya ku deposit, na huwa inachukua mda gani
Huwezi kufund kwa bonus acc. Utatakiwa kufungua new live trading account utakayoweza kuifundmkuu amefika kwenye sehemu ya deposit select account to fund account haionekani na account amefungua kama picha inavyo onekana hapo chini.
maana hiyo live unisfx ni ile ya bonus alio fungua sasa sijui ndo live nyenyewe au ana takiwa afungue nyingine
View attachment 756073
sasa akienda kwenye open account ina toa option ya cent account na universalfx na muslim. ndo zinaonekaHuwezi kufund kwa bonus acc. Utatakiwa kufungua new live trading account utakayoweza kuifund
Chagua Live UniversalFXsasa akienda kwenye open account ina toa option ya cent account na universalfx na muslim. ndo zinaoneka
Wapigie au waandikie email kuomba kubadili nambathanks na kuna tatizo lingine upande wa kubadilisha namba imegomaa hii ni baada ya msg ya ku verify kuchelewa
View attachment 756114
Yap... That's it.kafanikiwa na iko kama hivi hapo moja ni ya ile bonus na nyingine yenye zero ndo kafungua saizi
View attachment 756117
si yuko sawa
Mkuu naomba unitumie masharti ya kuweza kupata hela ya bonus kutoka kwa templex endapo utaipataJisajili Templerfx upate dollars 30 bure. Ukisha kamilisha usajili omba hiyo 30 kabla ya kudeposit
Templer FX Trader
Nadhani nimekutumia inboxMkuu naomba unitumie masharti ya kuweza kupata hela ya bonus kutoka kwa templex endapo utaipata
Manake bonus nyingi zinakua na masharti mengi yanayoambatanishwa nayo