Wakati naanza forex trading niliunguza zaidi ya account 8, nahisi zinafika account 12. Nimefika kipindi ambacho siwezi kuunguza account hata kama nikiwa na $10.
Namaanisha hata leo nikifilisika nitatafuta elfu 24,000 tu ambayo ni $10, nitaikuza kufika $100, hiyo nayo nitaikuza hadi $1000. Nikifika $1000 nina uwezo zaidi ya asilimia 100 kuingiza mshahara wa madaktari wa5 kwa kila mwezi.
Kama umeunguza account jua upo kwenye hatua ya kuimarika hasa kisaikolojia. Nina mwanafunzi wangu, kamaliza CPA juzi kati alianza na $100 akaifikisha $400. Then akacheza michezo ya kishamba akaunguza account yake yote. Akaifund upya kwa $100, leo ninavyozungumza ana account ya $3000 chini ya mwezi mmoja. Thats the power of forex!!

ha ha ha ze dudu fala sanampe na uchochoro huo kabisa
Mkuu training ya dar ni liniWakati naanza forex trading niliunguza zaidi ya account 8, nahisi zinafika account 12. Nimefika kipindi ambacho siwezi kuunguza account hata kama nikiwa na $10.
Namaanisha hata leo nikifilisika nitatafuta elfu 24,000 tu ambayo ni $10, nitaikuza kufika $100, hiyo nayo nitaikuza hadi $1000. Nikifika $1000 nina uwezo zaidi ya asilimia 100 kuingiza mshahara wa madaktari wa5 kwa kila mwezi.
Kama umeunguza account jua upo kwenye hatua ya kuimarika hasa kisaikolojia. Nina mwanafunzi wangu, kamaliza CPA juzi kati alianza na $100 akaifikisha $400. Then akacheza michezo ya kishamba akaunguza account yake yote. Akaifund upya kwa $100, leo ninavyozungumza ana account ya $3000 chini ya mwezi mmoja. Thats the power of forex!!
we jamaa ndio unaamka niniMkuu training ya dar ni lini
Kwanini mkuuwe jamaa ndio unaamka nini
Hiki kipengele cha kusoma ndicho kina wakwamisha watu wengi.Lakin pia inahitaji mtu usome sana na uwe mvumilivu.
- Hakuna sehemu nyingine zaidi ya TMTkwa hapa dar sehemu gani naweza nikafika kusoma au mtu gani naweza kumcheki anausika na coaching on forex trading?
Hiyo booking unafanya kwa kulipia au..?- Hakuna sehemu nyingine zaidi ya TMT
- Fanya booking mapema: The Million Team
- Kwa darasa la mapema January 2018
SahihiHiyo booking unafanya kwa kulipia au..?
Uwe mkweli useme kwamba ww ni mwoga na huwezi kujifunza. Na ukishakuwa na hizo tabia mbili utaishia kusubiri uje kujenga nyumba baada ya PSPF, NSSF kukupa kukufa mafao yakoNyie downloadini pesa tu... Ni sawa.
Wengine tunaamini katika thamani. Katika kazi. Katika uzalishaji.
mkuu what's the minimum amount nahitaji ili nifungue account?!Wakati naanza forex trading niliunguza zaidi ya account 8, nahisi zinafika account 12. Nimefika kipindi ambacho siwezi kuunguza account hata kama nikiwa na $10.
Namaanisha hata leo nikifilisika nitatafuta elfu 24,000 tu ambayo ni $10, nitaikuza kufika $100, hiyo nayo nitaikuza hadi $1000. Nikifika $1000 nina uwezo zaidi ya asilimia 100 kuingiza mshahara wa madaktari wa5 kwa kila mwezi.
Kama umeunguza account jua upo kwenye hatua ya kuimarika hasa kisaikolojia. Nina mwanafunzi wangu, kamaliza CPA juzi kati alianza na $100 akaifikisha $400. Then akacheza michezo ya kishamba akaunguza account yake yote. Akaifund upya kwa $100, leo ninavyozungumza ana account ya $3000 chini ya mwezi mmoja. Thats the power of forex!!
Shukrani mkuuSahihi
Ila ni vyema ukapiga simi ofisini na utapata ufafanuzi zaidi.
Ni kiasi chochote unachoweza.mkuu what's the minimum amount nahitaji ili nifungue account?!
Sasa si ndio maana inaitwa biashara ya kubadilishana fedha mkuuKuna kitu watu hawaelewi
Hizi hela si kuwa zinakuja tu kwako, Kuna wanao poteza na wanaopata
Ukipoteza jua Kuna mtu kachukua hela zako
Ukipata jua Kuna mtu amepoteza
Haitatokea wote mpate