Mtukutu wa Nyaigela JF-Expert Member Joined Sep 4, 2018 Posts 8,011 Reaction score 14,334 Jun 24, 2024 #1 Mimi bado Lindi, Mtwara, Rukwa na Kagera. Soon nitamalizana nayo Tupe uzoefu wako
Sangizi JF-Expert Member Joined Nov 9, 2015 Posts 2,483 Reaction score 5,375 Jun 24, 2024 #2 Nimetembea mikoa mitano tu kwakweli bado natakiwa kuzurura sana
Ivan Stepanov JF-Expert Member Joined Apr 22, 2023 Posts 6,797 Reaction score 22,337 Jun 24, 2024 #3 Mikoa Sijafika ni Kigoma Ruvuma Manyara (hapa nimepita tu)
DR HAYA LAND JF-Expert Member Joined Dec 26, 2017 Posts 31,737 Reaction score 81,807 Jun 24, 2024 #4 Ukifika DSM basi hauna haja ya kwenda Zanzibar, Lindi, Mtwara, Morogoro, Pwani na Zanzibar Utamaduni ule ule vyakula vilevile watu wanafanana wazawa humble watu wa kuridhika na Amani. Pia ukifika Kagera hauna haja ya kwenda Mwanza, Kigoma. Ukifika Singinda hauna haja ya kwenda Dodoma. Kama unafanya tour au road trip unafanya hivyo Ila Kikazi ndo inafaa.
Ukifika DSM basi hauna haja ya kwenda Zanzibar, Lindi, Mtwara, Morogoro, Pwani na Zanzibar Utamaduni ule ule vyakula vilevile watu wanafanana wazawa humble watu wa kuridhika na Amani. Pia ukifika Kagera hauna haja ya kwenda Mwanza, Kigoma. Ukifika Singinda hauna haja ya kwenda Dodoma. Kama unafanya tour au road trip unafanya hivyo Ila Kikazi ndo inafaa.
Mad Max JF-Expert Member Joined Oct 21, 2010 Posts 31,328 Reaction score 89,523 Jun 24, 2024 #5 Sangizi said: Nimetembea mikoa mitano tu kwakweli bado natakiwa kuzurura sana Click to expand... Duh mkuu, hebu jitahidi kidogo angalau ifike 10.
Sangizi said: Nimetembea mikoa mitano tu kwakweli bado natakiwa kuzurura sana Click to expand... Duh mkuu, hebu jitahidi kidogo angalau ifike 10.
S Statistics JF-Expert Member Joined Sep 22, 2013 Posts 3,762 Reaction score 8,003 Jun 24, 2024 #6 Unapoishi ndivyo ilivyo kwingine
DR SANTOS JF-Expert Member Joined Mar 11, 2019 Posts 13,903 Reaction score 31,160 Jun 24, 2024 #7 Zaidi ya Mbeya, Songwe, Njombe, morogoro Dodoma, Iringa, Arusha na Dar es Salaam hakuna mkoa nimewahi enda
Zaidi ya Mbeya, Songwe, Njombe, morogoro Dodoma, Iringa, Arusha na Dar es Salaam hakuna mkoa nimewahi enda
ephen_ JF-Expert Member Joined Oct 28, 2022 Posts 16,787 Reaction score 61,262 Jun 24, 2024 #8 Bado kufika Mbeya niende Mbozi kumuona Lucas Mwashambwa
babuzer JF-Expert Member Joined Feb 19, 2021 Posts 310 Reaction score 700 Jun 24, 2024 #9 Bado sijapata nafasi yakufika Lindi na Mtwara. Ila mikoa mingine yote ya bara na Zanzibar tayari. Kwa hakika Tanzania ina sehemu nzuri sana na zaku vutia
Bado sijapata nafasi yakufika Lindi na Mtwara. Ila mikoa mingine yote ya bara na Zanzibar tayari. Kwa hakika Tanzania ina sehemu nzuri sana na zaku vutia
min -me JF-Expert Member Joined Jul 20, 2022 Posts 47,777 Reaction score 132,053 Jun 24, 2024 #10 Mikoa niliyofika Dodoma Moro Mbeya Singida Manyara Iringa Tanga Kagera Mwanza na mikoa yote ya njiani
Mikoa niliyofika Dodoma Moro Mbeya Singida Manyara Iringa Tanga Kagera Mwanza na mikoa yote ya njiani
Hannah JF-Expert Member Joined Aug 28, 2015 Posts 10,146 Reaction score 41,401 Jun 24, 2024 #11 Daah kuna mimi niliyezaliwa Mbeya na sijawahi kutoka nje ya huu mkoaπ
min -me JF-Expert Member Joined Jul 20, 2022 Posts 47,777 Reaction score 132,053 Jun 24, 2024 #12 Hannah said: Daah kuna mimi niliyezaliwa Mbeya na sijawahi kutoka nje ya huu mkoaπ Click to expand... Mbeya pazuri mno utoke uende wapi tena.
Hannah said: Daah kuna mimi niliyezaliwa Mbeya na sijawahi kutoka nje ya huu mkoaπ Click to expand... Mbeya pazuri mno utoke uende wapi tena.
CCM MKAMBARANI JF-Expert Member Joined Mar 15, 2017 Posts 2,031 Reaction score 1,529 Jun 24, 2024 #13 ephen_ said: Bado kufika Mbeya niende Mbozi kumuona Lucas Mwashambwa Click to expand... Utabubujikwa kwa furaha ukibahatika kumuona mccm mwenzangu
ephen_ said: Bado kufika Mbeya niende Mbozi kumuona Lucas Mwashambwa Click to expand... Utabubujikwa kwa furaha ukibahatika kumuona mccm mwenzangu
Hannah JF-Expert Member Joined Aug 28, 2015 Posts 10,146 Reaction score 41,401 Jun 24, 2024 #14 min -me said: Mbeya pazuri mno utoke uende wap tena. Click to expand... Kidogo nifike hata daslam
min -me JF-Expert Member Joined Jul 20, 2022 Posts 47,777 Reaction score 132,053 Jun 24, 2024 #15 Hannah said: Kidogo nifike hata daslam Click to expand... Ulitoka mbeya ukienda dasilamu utaona unakosa hewa kwa mara ya kwanzaππ
Hannah said: Kidogo nifike hata daslam Click to expand... Ulitoka mbeya ukienda dasilamu utaona unakosa hewa kwa mara ya kwanzaππ
min -me JF-Expert Member Joined Jul 20, 2022 Posts 47,777 Reaction score 132,053 Jun 24, 2024 #16 ephen_ said: Bado kufika Mbeya niende Mbozi kumuona Lucas Mwashambwa Click to expand... ππππ
ephen_ said: Bado kufika Mbeya niende Mbozi kumuona Lucas Mwashambwa Click to expand... ππππ
B Bando la wiki JF-Expert Member Joined May 23, 2023 Posts 909 Reaction score 3,044 Jun 24, 2024 #17 Ngoja nione mimi nimefika mingapi; Mwanza, Mara, Tabora, Manyara, Arusha, Kilimanjaro, Pwani, Dar es salaam, Iringa, Mbeya, Dodoma, Sio haba ila ngoja nijipange kufika mikoa mingine.
Ngoja nione mimi nimefika mingapi; Mwanza, Mara, Tabora, Manyara, Arusha, Kilimanjaro, Pwani, Dar es salaam, Iringa, Mbeya, Dodoma, Sio haba ila ngoja nijipange kufika mikoa mingine.
Ushimen JF-Expert Member Joined Oct 24, 2012 Posts 42,575 Reaction score 105,420 Jun 24, 2024 #18 Ebu ngoja tuone...π
DUBULIHASA JF-Expert Member Joined Nov 26, 2016 Posts 5,587 Reaction score 10,281 Jun 24, 2024 #19 Km hujafika Mbeya, Dar na Arusha ujue we ni km form one tu!
A Asamwa JF-Expert Member Joined Apr 13, 2012 Posts 3,785 Reaction score 2,552 Jun 24, 2024 #20 DR HAYA LAND said: Ukifika DSM basi hauna haja ya kwenda Zanzibar , lindi mtwara morogoro , pwani na Zanzibar Utamaduni ule ule vyakula vilevile watu wanafanana wazawa humble watu wa kuridhika na Amani. Pia ukifika Kagera hauna haja ya kwenda Mwanza, kigoma , Ukifika singinda hauna haja ya kwenda Dodoma. Kama unafanya tour au road trip unafanya hivyo Ila Kikazi ndo inafaa. Click to expand... Madhari zinatofautiana lakini baina ya mikoa..!
DR HAYA LAND said: Ukifika DSM basi hauna haja ya kwenda Zanzibar , lindi mtwara morogoro , pwani na Zanzibar Utamaduni ule ule vyakula vilevile watu wanafanana wazawa humble watu wa kuridhika na Amani. Pia ukifika Kagera hauna haja ya kwenda Mwanza, kigoma , Ukifika singinda hauna haja ya kwenda Dodoma. Kama unafanya tour au road trip unafanya hivyo Ila Kikazi ndo inafaa. Click to expand... Madhari zinatofautiana lakini baina ya mikoa..!