Fr. Dkt. Leons Maziku, papaaa Mulongo, Katigula, Prof. Chiteji, Sijo, Thobias, karuhawe, Munga, nkBinafsi nimepata maari ya kutosha kutoka saut Mwanza
Nimehitimu pale 2015
Chuo cha SAUT kimetoa wanasiasa wanaojiamini na wanalitumikia Taifa Kwa uadilifu
Baadhi ya wanasiasa ni Naibu waziri mkuu Ditto Biteko, David Kafulila, Heche, Malisa, n. K
Mtu aliyesoma SAUT laZima awe na maarifa ya kutosha na awe mwana mapinduzi Kwa namna Moja ama nyingine
Njooni hapa tukumbuke enzi zetu na maisha Kwa ujumla
Walioishi nje ya chuo kama Ngaza, Kwa Masha, Sweya n. K na baadhi ya hostel maarufu
Tuwakumbuke lecturers wetu kutoka course tofauti na vimbwenga vyao
Tukumbuke msuri wa kusaka course work, n. K
Najivunia kusoma na kupata maarifa ya kutosha kutoka SAUT Mwanza
SAUT: " Building the City of God'
Kwa kuongezea mwenyekiti wa bavicha taifaa ndugu John Justin pambalu ni allumin pia...Binafsi nimepata maari ya kutosha kutoka saut Mwanza
Nimehitimu pale 2015
Chuo cha SAUT kimetoa wanasiasa wanaojiamini na wanalitumikia Taifa Kwa uadilifu
Baadhi ya wanasiasa ni Naibu waziri mkuu Ditto Biteko, David Kafulila, Heche, Malisa, n. K
Mtu aliyesoma SAUT laZima awe na maarifa ya kutosha na awe mwana mapinduzi Kwa namna Moja ama nyingine
Njooni hapa tukumbuke enzi zetu na maisha Kwa ujumla
Walioishi nje ya chuo kama Ngaza, Kwa Masha, Sweya n. K na baadhi ya hostel maarufu
Tuwakumbuke lecturers wetu kutoka course tofauti na vimbwenga vyao
Tukumbuke msuri wa kusaka course work, n. K
Najivunia kusoma na kupata maarifa ya kutosha kutoka SAUT Mwanza
SAUT: " Building the City of God'
Yes,Hivi ndo chuo alichosoma Genta?
Mimi first year, first semester nilikuwa na course 10Kwa kuongezea mwenyekiti wa bavicha taifaa ndugu John Justin pambalu ni allumin pia...
Wapo wengi Mimi ndugu zangu wawili wa damu wamesoma palee...
Ma course mengi mpaka FRENCH ni balaaa
Father MfumbusaFr. Dkt. Leons Maziku, papaaa Mulongo, Katigula, Prof. Chiteji, Sijo, Thobias, karuhawe, Munga, nk