Tuliosoma nje ya nchi tunanyanyapaliwa sana

Hujawahi kuwa na akili wewe Mzee,ndio maana nimefuatilia Nyuzi zako mara ulalamike UMETAPELIWA Pesa basi ni shida tu,na kwa akili zako za kununua Vyeti Online ni lazima uishie kutapeliwa tu maana kichwani hauna kitu,na kwa sasa huwezi ku-switch employer wakati UNASTAAFU keshokutwa tu,sasa uende wapi wewe Mzee tumia akili za kichwani na si za makalioni kwako!!!kama ulishindwa kupanda Cheo enzi za ujana wako usitegemee leo upandishwe Cheo kwa kuleta Vyeti vya kimagumashi kama ulivyoleta na wakati huohuo unastaafu keshokutwa tu,jiheshimu Mzee acha utoto wa kuchafua Taasisi za Serikali JF
Hivi wewe unachuki na mimi kwa kisa kipi? Au wewe ndio uliyenitapeli? Hasira za kuitundika picha yako mtandaoni unaumia hivyo umepatia pa kunitukana matusi? Nani alikutuma unitapeli sasa kama unaumia picha yako kuitangaza kwamba wewe ni tapeli?
Consequences za kutapeli watu ni maumivu. Au hukulijua hilo?
 
Mimi sijasoma mtandaoni. Nimesoma full time. Hata research paper yangu ipo kwenye rack number 172 chuo nilichosoma.
Nashangaa unaeleza masuala ya kununua cheti online. Sikujui hunijui sijui umechukia nini.
 
Hapo mkuu ndio umekoea, haiwezekan Nchi zima mwenye qualifacation akawa peke ake. Hakuna kitu kama hicho.
Usikaze fuvu. Si kila nafasi inatangazwa public. Pia, ilikua ni nafasi inahitahjika mtu haraka na hakukua na mwenye sifa. Unadhani kwanini kuna nafasi zinakua re-advertised kwa zile zinazotangazwa? Au umewahi kujiuliza kwanini baadhi ya nafasi wanachukuliwa wageni kuja kufanya nchini? Au unafikiri vyuo vya nchi yako inatoa kozi zote duniani? Kuna kozi mtu amesoma hapa nchini hakuna. Mzee elimu ya wenzetu kila uchwao maarifa mapya. Watu wako serious kwenye research. Hakuna longolongo kwenye elimu. Next time usikaze fuvu
 
Lkn si alikua anapewa kitengo kigoma shida iko wap ili apate uzoefu na mazingira ya tz
Nimeileta ili msikie hoja za humo mlinganishe na mada yangu. Mmeona mtu amesoma UK na anauzoefu na HMRC na huja kufundisha Africa. Huyo amekataliwa. Wanaonishambulia miye kwamba sifai warudi kujifikiria upya.
 
N
Habari za asubuhi.

Somo tajwa hapo juu lahusika.

Sisi tuliosoma nje ya nchi tukirudi Tanzania kwenye taasisi za serikali tunanyanyapaliwa sana. Suluba inaanzia hapa:

Kwanza tunaambiwa tukavithibitishe vyeti vyetu TCU. Tukifika TCU usumbufu tunaopata pale ni mkubwa sana!

Unaambiwa upeleke ushahidi kwamba ni kweli ulikwenda nje ya nchi.

Wanataka visa yako ioneshe ni student visa wakati unaondoka. Pia uoneshe sehemu ya passport ulivoondoka na ulovyofika kule yaani uoneshe sehemu iliyogongwa muhuri.

Hayo si issue sana maana mwisho unatakiwa ulipie.

Kubwa ni lile unapofanya kazi wakubwa hawakupi kipaumbele wala kuthamini elimu yako. Wanakuona ni adui na unajifanya mjuaji.

Linapokuja suala la promotion utasugua benchi mpaka utajuta kwa nini ulikwenda kusoma nje ya nchi.

Waliosoma hapa nchini utawaona wanapeta tu na maisha yao yanaenda vizuri. Vyeo wanapewa mpaka unashangaa mtu kapataje maana uwezo wa kiuongozi au kiufundi unamzidi kwa kila kitu.

Kwa kweli hali hii inatuumiza sana.
Je, ni kosa kusoma nje ya nchi?
ni wivu tuu, bongo ukitoka familia bora lazima uteswe, unfortunate ila ndio hivyo
 
Nimeileta ili msikie hoja za humo mlinganishe na mada yangu. Mmeona mtu amesoma UK na anauzoefu na HMRC na huja kufundisha Africa. Huyo amekataliwa. Wanaonishambulia miye kwamba sifai warudi kujifikiria upya.
Lkn hajakataliwa kwa kuanzia alipangiwa kigoma ttz liko wap hapo
 
Hujawahi kuwa na akili wewe Mzee,ndio maana nimefuatilia Nyuzi zako mara ulalamike UMETAPELIWA Pesa basi ni shida tu,na kwa akili zako za kununua Vyeti Online ni lazima uishie kutapeliwa tu maana kichwani hauna kitu,na kwa sasa huwezi ku-switch employer wakati UNASTAAFU keshokutwa tu,sasa uende wapi wewe Mzee tumia akili za kichwani na si za makalioni kwako!!!kama ulishindwa kupanda Cheo enzi za ujana wako usitegemee leo upandishwe Cheo kwa kuleta Vyeti vya kimagumashi kama ulivyoleta na wakati huohuo unastaafu keshokutwa tu,jiheshimu Mzee acha utoto wa kuchafua Taasisi za Serikali JF
Kama wewe ndio afisa anayeshughulikia maslahi ya wafanyakazi basi kazi wanayo.
Hebu nijibu sasa. Mimi mlinikatalia kunipandisha kwa sababu vyeti vyangu kwa ni vya kufoji, au kwa sababu sina akili au ni kwa sababu ipi? Au ni uzee kwa sababu nakaribia kustaafu?
Hebu toa jibu moja ili ueleweke.
 
Nilishakupa jibu kwamba Cheti ulicholeta unachodai umesoma Nje ya Nchi wakati ni cha Magumashi umekinunua Online HATUWEZI KUPANDISHA VYEO WAHUNI NA MATAPELI.Hebu jiulize vijana wangapi walikukuta kazini lakini leo ni MA-Senior wako?? Pili,performance yako ya kazi ni ya kiwango cha chini na hiyo ni kutokana na kiwango chako kidogo cha Elimu pamoja na umri mkubwa,iweje tukupandishe Cheo mtu mwenye Elimu ndogo tena unayekaribia kustaafu??utakuwa na Tija gani kwa Mamlaka kubwa kama TRA??ulichokalia ofisini wewe Mzee ni Majungu na kuendekeza Ushirikina tu huna lolote!!!jiulize vijana wangapi walikukuta kazini lakini leo ni wakubwa wako??acha kulalamikalamika JF mtu mzima wewe,jiandae kustaafu kalee wajukuu wako
 
Kwa hiyo siyo TCU tena walikataa kukithibitisha? Si uliongea kuwa niliambiwa nipeleke ukurasa wa student visa nikawa sina kisha nikaingia mitini. Wewe ulikuwa TCU au ulihadithiwa na TCU? Leo imekuwa mlikataa ninyi kama waajiri wangu na siyo TCU kumbe?
 
Nilishakupa jibu kwamba Cheti ulicholeta unachodai umesoma Nje ya Nchi wakati ni cha Magumashi umekinunua Online HATUWEZI KUPANDISHA VYEO WAHUNI NA MATAPELI.Hebu jiulize vijana wangapi walikukuta kazini lakini leo ni MA-Senior wako?? Pili,performance yako ya kazi ni ya kiwango cha chini na hiyo ni kutokana na kiwango chako kidogo cha Elimu pamoja na umri mkubwa,iweje tukupandishe Cheo mtu mwenye Elimu ndogo tena unayekaribia kustaafu??utakuwa na Tija gani kwa Mamlaka kubwa kama TRA??ulichokalia ofisini wewe Mzee ni Majungu na kuendekeza Ushirikina tu huna lolote!!!jiulize vijana wangapi walikukuta kazini lakini leo ni wakubwa wako??acha kulalamikalamika JF mtu mzima wewe,jiandae kustaafu kalee wajukuu wako
Kwa hiyo wewe ndio unaona hakuna tija kumpandisha mzee anayekaribia kustaafu au kuna mwongozo wa kisheria na ki kanuni unatumia? Ni maoni yako binafsi kumbe? Au?
 
Halafu Uzi umevamiwa na afisa utumishi na muajiriwa wake, hii itakuwa issue ya mserereko!?!?

Ngoja tusome comments!

Ushauri wa bure, ukiona kuajiriwa manyanyaso huku tuliko kwenye kujiajiri!
 
Hii yote dalili ya Umasikini , nyie wote mliokuja kutoa mapovu humu na mtoa mada mwenyewe , ukiona Hali kama hii ujue Hali ni mbaya mno ..........
 
It was l for r
Ttz umedandia treni kwa mbele

Btw Its
'a non-existent' sio non existence
non-existent (with or without hyphen) - is an adjective, used for , an attributes, the name Bangalore was not an attributes
non existence(with or without hyphen) - used for nouns, the so called Bangalore was and used to be a "noun"............
 
Hivi wewe unachuki na mimi kwa kisa kipi? Au wewe ndio uliyenitapeli? Hasira za kuitundika picha yako mtandaoni unaumia hivyo umepatia pa kunitukana matusi? Nani alikutuma unitapeli sasa kama unaumia picha yako kuitangaza kwamba wewe ni tapeli?
Consequences za kutapeli watu ni maumivu. Au hukulijua hilo?
Funguka....

Lkn hajakataliwa kwa kuanzia alipangiwa kigoma ttz liko wap hapo
1654460119370-jpeg.2251714
1654461090789.png

Mimi ninatambulika na Malkia wa Dunia halafu wewe nchi ombaomba choka mbovu na kila kukicha ninawaombea misaada halafu unipeleke Kigoma……
Yule aliye mpagia Kigoma , sasa aanze kutafuta kazi nyingine sio TRA…..
 
Sawa mkuu,

Ingekuwa vyeti ni irrelevant hao TCU wasingepoteza muda kuvihakiki, usi undermine uzito wa cheti...

Mafanikio yako ofisini, i agree inahitaji kufanya kazi as a team,unapewa pande na wenzio, the thing is utapewaje pande au utafanyaje kazi as a team na wenzio kama wanakuona wewe ni threat...???? unakuta mtu (Boss) ana insecurities zake huko kama clearly huyo Boss wa TRA anawapa favour waliosoma Tanzania, utafanyaje kazi kwenye mazingira kama hayo????..atakupaje pande mtu wa hivyo?

Mzigo,mtu kama una preference za watu wako (Waliosoma Tanzania), lazima umuone aliesoma nje ni mzigo!
Hilo la Boss wa TRA kutoa favor kwa waliosoma nchini ni uongo tena ni uongo wa mwisho alaf i doubt neither of these parties ambao wanarumbana hapa kama wapo TRA. Hakunaga favor ya Boss ata kidogo kama una deserve kupanda utapanda tu muhim uwe na vigezo. TRA wapo vizuri sna wale wanakitu kinaitwa Balance score card na kila mtu anaijaza ikifika kipindi cha kumaliza mwaka na kama anadeserve kupata stahiki flan basi atapata pasipo na interference yoyote ya boss wake. Muacheni maneno ya kizushi eti "Boss anatoa favor kwa watu flani'" vitu kama hamvijui mkae kimya jaman na muache kujiaminisha kwenye hizo hear say. Hao TRA wanaviwango ndio mana wanapewa vile vyeti ISO. Kama cheti hakitambuliki hilo sio tatizo la mwajiri kuna academic boards and Commissions kama Nacte na TCU. Wao waki verify utumishi wanakuta unachostahili sasa kama chuo ulichosoma huko nje hakipo Accredited utaforce vp hiyo award yako itambulike.
 
Back
Top Bottom