Tuliosoma nje ya nchi tunanyanyapaliwa sana

Yah switch employers
Si ur not happy
Una vyeti na uzoefu unaogopa nini.?plus umesoma nje😅

Hadi leo people switch employers connection zako tu

Mi napata tabu kumtetea sanaa mana sijui utendaji na uzoefu wake vs hio nafasi anayotaka

And smtimes wakati wa Mungu haujafika
Labda kuna kizuri zaidi kitamtoke mbeleni na atashukuru
Nimeipenda last sentence...yes God First...

Switch employers, sio kwa climate ya hapo Tanzania..kazi hakuna, ukiipata ndio hivyo Boss ana mawenge, na sometimes Experiences shapes us...Uki explore, Majibu ni -Ve kila ukienda wanakuona threat...uta switch employers? How...Msaidie in this situation...?

Uko sahihi hujui utendaji wake, hivyo usi mscredit kwa vile amesoma nje,
 
Inategemea ofisi na ofisi

Inabd kujitahidi kuisoma ofisi yako,boss wako nk and fit in accordingly
Utendaji utakutofautisha utaweza ku'stand out plus kujuana jmn msipuuzie connections/kuishi na watu vizuri

Unataka afanyeje, kama performance yake haiwi recognized, na boss kasha change group/team dynamics???..kila mtu anamchukia? how utatengeneza connections kwenye hio office?
 
Switch employers, sio kwa climate ya hapo Tanzania..kazi hakuna, ukiipata ndio hivyo Boss ana mawenge, na sometimes Experiences shapes us...Uki explore, Majibu ni -Ve kila ukienda wanakuona threat...uta switch employers? How...Msaidie in this situation...?

Uko sahihi hujui utendaji wake, hivyo usi mscredit kwa vile amesoma nje,
kila sehemu wakuone threat we ni nani??
Ama ur overqualified kwa nafasi unayotaka ama??
Kuna kitu hakipo sawa huwezi shindwa kufit kila sehemu

Punguza exaggerated sense of self kwa kuanzia pambana kwanza usome mazingira

Otherwise issue an official complaint watakupa majibu esp kama una ushahidi wa wengine unaona hawafai wamepanda na we unafaa hujapanda
 
Unataka afanyeje, kama performance yake haiwi recognized, na boss kasha change group/team dynamics???..kila mtu anamchukia? how utatengeneza connections kwenye hio office?
No mana nkasema mapambano internally yakikushinda badilisha mwajiri
Hata Serikalini mbona wanahama vizuri tu

Otherwise be realistic na uwezo wako vs mazingira
 
Y do

kila sehemu wakuone threat we ni nani??
Ama ur overqualified kwa nafasi unayotaka ama??
Kuna kitu hakipo sawa huwezi shindwa kufit kila sehemu

Punguza exaggerated sense of self kwa kuanzia pambana kwanza usome mazingira

Otherwise issue an official complaint watakupa majibu esp kama una ushahidi wa wengine unaona hawafai wamepanda na we unafaa hujapanda

Official complaint kama hakuna performance measurements kwenye office?, hakuna guidelines???, sidhani kama mtoa mada kama guidelines za ku issue complaint zipo hajafanya hivyo....possible hata kama zipo Boss anaignore, kesi ya swala kumpelekea Simba......................kuna tatizo kwenye Uongozi wa hii Office...

Kila mahali wanakuona threat sababu umesoma nje!,lol, , Bahati mbaya maboss wengi kwenye office nyingi, hawana expozzzzya....lazima kila utakapoenda uta bounce....

Kuwa overqualied sio ishu, kwa nini umuajiri mtu overqualified halafu umuone threat??? au umpe cold treatment afterwards?

Embu msaidie kusoma hayo mazingira, incase hakuyasoma mwanzo..lol
 
No mana nkasema mapambano internally yakikushinda badilisha mwajiri
Hata Serikalini mbona wanahama vizuri tu

Otherwise be realistic na uwezo wako vs mazingira
Sio kirahisi kubadilisha Mwajiri, kutokana na hio climate iliyopo hapo Tanzanoa, naona tunarudia hii ya kubadilisha mwajiri, msaidie how...na kwa nini hao Maboss waendelee kupewa opportunity ya kunyanyasa watu waliosoma nje...??

Uwezo anao ndio maana kaja hapa kaona anaonewa..hio ya mazingira mwambie how awe realistic na hayo mazingira..afanyaje kwenye hayo Mazingira?!
 
TCU wana matatizo makubwa. Mimi niliwahi kutaka kusoma online degree wanaleta hizo story za Visa etc. Kweli dunia ilipofika mtu anaamini kusoma nje hadi uende physically.

Nchi ya aina hii haiwezi kufika popote
 
Official complaint kama hakuna performance measurements kwenye office?, hakuna guidelines???, sidhani kama mtoa mada kama guidelines za ku issue complaint zipo hajafanya hivyo....possible hata kama zipo Boss anaignore, kesi ya swala kumpelekea Simba......................kuna tatizo kwenye Uongozi wa hii Office...

Kila mahali wanakuona threat sababu umesoma nje!,lol, , Bahati mbaya maboss wengi kwenye office nyingi, hawana expozzzzya....lazima kila utakapoenda uta bounce....

Kuwa overqualied sio ishu, kwa nini umuajiri mtu overqualified halafu umuone threat??? au umpe cold treatment afterwards?

Embu msaidie kusoma hayo mazingira, incase hakuyasoma mwanzo..lol
Hivi kuna ofisi haina miongozo ya kupima utendaji kweli?
Mention
I will wait

Unaconclude kuna tatizo kwenye hio Ofisi unawajua?na operations zao?
Hawana exposure wanafit vipi kwenye hivyo viti na mambo yanaenda?

Ukiwa overqualified for a certain post expect to be treated kwa level za maafisa wa hio post na sio by ur level of education
Mfano kuna jamaa mmoja ana PhD kwenye kundi la kada ya wahasibu..ss apewe preferential treatment ipi wkt aliapply mwenyewe kada ya uhasibu..
Huwa anataniwa asubirie uteuzi tu heheh
 
Sikilizeni hii. Haina connection na mimi lakini context zinafanana na mada yangu.
 
Hivi kuna ofisi haina miongozo ya kupima utendaji kweli?
Mention
I will wait

Unaconclude kuna tatizo kwenye hio Ofisi unawajua?na operations zao?
Hawana exposure wanafit vipi kwenye hivyo viti na mambo yanaenda?

Ukiwa overqualified for a certain post expect to be treated kwa level za maafisa wa hio post na sio by ur level of education
Mfano kuna jamaa mmoja ana PhD kwenye kundi la kada ya wahasibu..ss apewe preferential treatment ipi wkt aliapply mwenyewe kada ya uhasibu..
Huwa anataniwa asubirie uteuzi tu heheh

Zipo kibao tu mbona??? tena nyingi tu tembea uone infact zipo nyingi kuliko zenye miongozo,,,Mtu anapima utendaji wa mtu kutokana na anvyoona yeye na sio agreed guidelines..kuwa this check, that check...

Mkuu umeamua tu kuwa Mbishi, kungekua hamna Tatizo, asingekuja kulia Maumivu humu...Boss/Office unaweza kutell uongozi wao ukoje kama hakuna hata jinsi ya ku issue complaint, Na pia Boss yuko Tayari ku disclose info za employee wake mitandaoni, ndivyo wanavyo operate kwenye office zao!

Eti wanafit vipi kwenye hivyo viti, si umesema mwenyewe kuna ' connections'..??!...hivyo wapo kibao tu wapo ofisini na hawana exposure, otherwise wasingemuona mtu aliyesoma nje ama overqualified as a threat... hii ni proof tosha hawana exposure....

Nishasema changamoto za ajira, watu overqualified wapo kibao kwenye posts za kawaida, waangalie performance yako na sio kuwa uko overqualified.... Pinga upendeleo#
 
Nimesoma kila comment na ninafurahi mawazo yenu. Kuna vitu nimejifunza hapo.
Vitu vitatu.
1. Ku switch employer. Hili halitaleta utofauti sana. Sitoweza kulifanya maana niendako yataweza kuwa ni yaleyale tu.
2. Kujiajiri. Hapa panahitaji mtaji wa kifedha maana kichwani pako njema sana. Kuuza ujuzi italipa baada ya muda mfupi. Hili nikipata mtaji nitalifanya
3. Kuingia kwenye siasa ili kupata nafasi za uteuzi. Hapa ni pagumu sana.
Ni mawazo mazuri ambayo yamenifungua akili.
 
Hujawahi kuwa na akili wewe Mzee, ndio maana nimefuatilia Nyuzi zako mara ulalamike UMETAPELIWA Pesa basi ni shida tu, na kwa akili zako za kununua Vyeti Online ni lazima uishie kutapeliwa tu maana kichwani hauna kitu, na kwa sasa huwezi ku-switch employer wakati UNASTAAFU keshokutwa tu, sasa uende wapi wewe Mzee tumia akili za kichwani kwako!! kama ulishindwa kupanda Cheo enzi za ujana wako usitegemee leo upandishwe Cheo kwa kuleta Vyeti vya kimagumashi kama ulivyoleta na wakati huohuo unastaafu keshokutwa tu, jiheshimu Mzee acha utoto wa kuchafua Taasisi za Serikali JF
 
Nimesoma kila comment na ninafurahi mawazo yenu. Kuna vitu nimejifunza hapo.
Vitu vitatu.
1. Ku switch employer. Hili halitaleta utofauti sana. Sitoweza kulifanya maana niendako yataweza kuwa ni yaleyale tu.
2. Kujiajiri. Hapa panahitaji mtaji wa kifedha maana kichwani pako njema sana. Kuuza ujuzi italipa baada ya muda mfupi. Hili nikipata mtaji nitalifanya
3. Kuingia kwenye siasa ili kupata nafasi za uteuzi. Hapa ni pagumu sana.
Ni mawazo mazuri ambayo yamenifungua akili.

Go for number two..Usikatishwe tamaa hata kidogo..
 
Eheee umekuja kwenye point hatimae

Nikisema Ivy League namaanisha vyuo vikubwa vya Marekani mfano Stanford,Harvard,Yale nk

The same na mtu kasoma Oxford lazima watu wababaike nae na anakua yuko njema kweli kusoma hivyo vyuo sio masihara hata robo

Malaysia utamwambia nini mtu wa UDSM tu hapo sembuse Eckenford sijui na alichosoma Marketing sijui
Kwamba Bcom hio haipo huku ama?
Huyu kashikia bango soma yake nje ana nini special??!
Atakua ordinary tu ama kasoma chuo kikitajwa hata hamna anaekijua
Otherwise asingekua analalama hapa

And top of it we all know ajira ziko tight unaringia vyeti vya nje wenzio wako ready ku'intern for free
Tofauti ni zama
Tujiongeze

Binafsi sipeleki mtoto nje kusoma labda masters hio hela heri niandae kitega uchumi aje aendelee unemployment ni tatizo kubwa
Yanini nje unakuja kazana na ajira za laki 7?umesomeshwa mamilioni 100?
Si mngefungua biashara akitoka UDSM mtoto anapata pa kuanzia??
Mkuu sorry unaposema ajira zipo tight unamaanisha nini?mbona ajira zipo nyingi sana kwa competent graduates..!
 
Mkuu mimi nahisi hili ni kweli, hata hapa JF watu wanatafuta ajira sana mkuu mpaka Mkuu wa JF anataka kuanzisha jukwaa la ku connect graduates na prospective employers... sina uhakika sababu siko kwenye grounds,ila naskia kuna stiff competition huko...
 
Zipo kibao tu mbona??? tena nyingi tu tembea uone infact zipo nyingi kuliko zenye miongozo,,,Mtu anapima utendaji wa mtu kutokana na anvyoona yeye na sio agreed guidelines..kuwa this check, that check...

Mkuu umeamua tu kuwa Mbishi, kungekua hamna Tatizo, asingekuja kulia Maumivu humu...Boss/Office unaweza kutell uongozi wao ukoje kama hakuna hata jinsi ya ku issue complaint, Na pia Boss yuko Tayari ku disclose info za employee wake mitandaoni, ndivyo wanavyo operate kwenye office zao!

Eti wanafit vipi kwenye hivyo viti, si umesema mwenyewe kuna ' connections'..??!...hivyo wapo kibao tu wapo ofisini na hawana exposure, otherwise wasingemuona mtu aliyesoma nje ama overqualified as a threat... hii ni proof tosha hawana exposure....

Nishasema changamoto za ajira, watu overqualified wapo kibao kwenye posts za kawaida, waangalie performance yako na sio kuwa uko overqualified.... Pinga upendeleo#
Haya bwana
Tufanye mi sio mbishi
Nikubali yaishe😅
 
Nje gani unayoizungumzia wewe? Uganda au? Kama uganda lazima tukuthibitishe mzee maguashi mengi mno, pia mnatabia ya kwenda ulaya halafu mnasoma amazon koleji za huko ulaya sàa kwanini tusikuhakiki? Ila kama umesoma vyuo vya ukweli halafu unarudi tz na kulilia ajira za gvt lazima tukupime mkojo mzee maana kwa eksipozzya uliyoipata huko bado unataka kulilia hizi ajira za kusubiri mei mosi mkuu wa nchi atasemaje kuhusu mshahara utakuwa na matatizo sio bure
😂 😂 😂 😂 hizi ajira zimetushinda na mengi!
Umenipa burudani hii Leo! Daah
 
Back
Top Bottom