Unadhani wote tuna kasumba ya kuajiliwa! wengine hatujui kuajiliwa ni nini!Haujastaafu utumishi wa umma?
Duh! Born before computer (bbc)! Kama hujajikuta upo peke yako tu humu...Kama aliyesoma Ndanda Secondary school miaka ya 1971-1975 tusalimiane hapa!
Hongera mkuu kwa kula chumvi na kuwa up to date, kuna wengine nawaona hapa nawapa heshima sana, wapo CleverKING, Rungu ,MAGALEMWA, 1954 much respect kwenuKama aliyesoma Ndanda Secondary school miaka ya 1971-1975 tusalimiane hapa!
Kweli we ni retired!!!Kama aliyesoma Ndanda Secondary school miaka ya 1971-1975 tusalimiane hapa!
At one time or another you will be a retired spent force! Unless you die before 55 or before 60 and I can assure you this is your destination!Kweli we ni retired!!!