Tuliosoma Geography advance tukutane hapa

Tuliosoma Geography advance tukutane hapa

Julius Husseni

JF-Expert Member
Joined
Sep 9, 2016
Posts
1,435
Reaction score
1,195
Wakuu ni topic gani ya Geography advance inasumbua Kati ya iz map photo survey research and statistics.
 
survey, hii ni kwasababu walimu wengi hawako vizuri kwenye hii topic jambo linalosababisha kuifundisha kwa kusuasua ama pengine kutoifundisha kabisa. hili hupelekea wanafunzi pia kuichukulia kama topic ngumu lakini kiukweli kwa level ya advance ni topic ya kawaida.
 
Mi nilikosa division 1 mwaka wetu dah geography chenga Sana ill somo
 
Zote zipo kawaida but survey inaonekana ngumu kwa baadhi ya watu kwasababu maswali yake yana probability ya kutoka au yasitoke so wanakuwa hawaitilii manani kuisoma.
 
kwa sababu nilijua ndio ilikuwa ngumu kuliko eng na hist ,nilitumia muda mwingi zaidi ili isiniharibie kupata div...,mock nilifanya vizuri,ila mtihani wa mwisho iliniangusha ,sina hamu
 
kwa sababu nilijua ndio ilikuwa ngumu kuliko eng na hist ,nilitumia muda mwingi zaidi ili isiniharibie kupata div...,mock nilifanya vizuri,ila mtihani wa mwisho iliniangusha ,sina hamu
Hahahah ulikula D nini mkuu
 
Au tatizo ni wasaishaji wa ili somo ndo wakatili maana A ya Geography sio kawaida
Huenda ,lakini pia mimi nilikuwa na bahati mbaya ktk mwaka huo kwa sababu topic ambazo sikusoma maswali yakawa compulsory ktk geog 1,mtihani haukuja ktk njia yangu
 
Kuwa specific hiyo geography tuliyosoma advance ni miaka ipi munataka tukutane...wengine kama kina mzee nkapaa map walisoma advance geography unataka ukutane nao pia?
 
Isostacy theory/continental shelf,...map iko super sana ukipata mwalimu nondo
 
Back
Top Bottom