The Tomorrow People
JF-Expert Member
- Jul 11, 2013
- 2,689
- 2,859
Hahahaha.. Weka mwaka nikukumbuke[emoji12]Mie nilikuwa jirani yenu tulikutana kituoni faya kusubiria usafiri wa kwenda home.
Je mnakumbuka miungano hii.....
Azajangwa Tambazana etc.
Mie nilikuwa kinara wa kushiriki concert zote zilizokiwa zinaandaliwa na shule kuanzia Shaban Robert mzizima zanaki jangwani Azania Tambaza zoote nilikuwa shabiki namba moja na lazima nifanye performance.
Pia nilikuwa naingia tuition mbali mbali kwasababu ya. .......
Kasie.
Naikumbuka lebo yangu ya ramani ya Afrika ya Blue, ule ugomvi wa Azania na Jitegemee. Dah Mchwa amefariki lini?Mimi namkumbuka Mwl wa chemistry Ernest pia na RIP Mchwa alikuwa mwl wa zamu alikuwa hatari sana usipochomokea shati umekwisha! Ilikuwa Mwano mwaka 2000-2003