SPACED
Senior Member
- Jun 7, 2016
- 137
- 132
- Thread starter
- #21
Zingine zinajibika tu kwa kutembelea shule, hospitali, na kuangalia kama kuna vijana vijiweni, na kwenda kuulizia bei ya sukari, na kwa swala na uhuru na demeokrasia, tunajionea wenyewe kila siku ikiwa unakua au kuharibiwa. Hawa wataalamu naona wakawasaidie saidie masokwe kule Gombe!
Huwezi kuhukumu maendeleo ya watoto kukaa chini shuleni kabla tarehe ya makabidhiano ya taarifa haitafika, Waulize TAHOSA bado wanabadili yao huko shuleni?Kuna mkuu wa shule uliyemsikia akijiuzuli kisa ameshindwa kuendesha shule? Bado hii ni nguvu ya soda?
Hospitalini bado madaktar wanaomba rushwa na kutukana wagonjwa?bado hii ni nguvu ya soda?
Vijana bado wanakaa vijiweni na kucheza pool asubuhi? Kama sio muda huo wanakuwa wp? Bado hii ni nguvu ya soda?
Hakuna demokrasia isiyo na mipaka bado wauwezo kwa kumwita Rais kuwa ni dhaifu?
Kuna mwanasiasa aliyefungwa kisa amedai demokrasia? La sukar ni suala mtambuka siwez kulijibu, nakumbuka ilifikia 5000 ila kwa sasa ni 2500 bei elekezi.