Tuliosema Rais Magufuli ana nguvu ya soda bado tunaendelea kuamini hivyo?

Zingine zinajibika tu kwa kutembelea shule, hospitali, na kuangalia kama kuna vijana vijiweni, na kwenda kuulizia bei ya sukari, na kwa swala na uhuru na demeokrasia, tunajionea wenyewe kila siku ikiwa unakua au kuharibiwa. Hawa wataalamu naona wakawasaidie saidie masokwe kule Gombe!

Huwezi kuhukumu maendeleo ya watoto kukaa chini shuleni kabla tarehe ya makabidhiano ya taarifa haitafika, Waulize TAHOSA bado wanabadili yao huko shuleni?Kuna mkuu wa shule uliyemsikia akijiuzuli kisa ameshindwa kuendesha shule? Bado hii ni nguvu ya soda?

Hospitalini bado madaktar wanaomba rushwa na kutukana wagonjwa?bado hii ni nguvu ya soda?

Vijana bado wanakaa vijiweni na kucheza pool asubuhi? Kama sio muda huo wanakuwa wp? Bado hii ni nguvu ya soda?

Hakuna demokrasia isiyo na mipaka bado wauwezo kwa kumwita Rais kuwa ni dhaifu?

Kuna mwanasiasa aliyefungwa kisa amedai demokrasia? La sukar ni suala mtambuka siwez kulijibu, nakumbuka ilifikia 5000 ila kwa sasa ni 2500 bei elekezi.
 
hahahaaaaaaa,hamjistukiiiiiii??mnaanzisha mada mnashindwa kuzitetea.Mungu awasamehe sn.
 
Huwezi kuhukumu maendeleo ya watoto kukaa chini shuleni kabla tarehe ya makabidhiano ya taarifa haitafika, Waulize TAHOSA bado wanabadili yao huko shuleni?Kuna mkuu wa shule uliyemsikia akijiuzuli kisa ameshindwa kuendesha shule? Bado hii ni nguvu ya soda?
Hospitalini bado madaktar wanaomba rushwa na kutukana wagonjwa?bado hii ni nguvu ya soda?
Vijana bado wanakaa vijiweni na kucheza pool asubuhi? Kama sio muda huo wanakuwa wp? Bado hii ni nguvu ya soda? Hakuna demokrasia isiyo na mipaka bado wauwezo kwa kumwita Rais kuwa ni dhaifu? Kuna mwanasiasa aliyefungwa kisa amedai demokrasia? La sukar ni suala mtambuka siwez kulijibu, nakumbuka ilifikia 5000 ila kwa sasa ni 2500 bei elekezi.
sukari ni suala mtambuka!!limekua mtambuka toka lini?kweli huna uwezo wa kulijibu,kwa sasa ni 2500 bei elekezi,!!!!Mkuu nini kilisababisha ipande toka bei elekezi ya 1800 kufikia hiyo unayotuambia??hahahaaaaaaaaaaaa
 
Sifa kubwa ya kiongozi nikufikiri,kuambua kwa niaba ya watu wengine unawaongoza kwa niaya ya kuwashawishi waende unakoelekea,mpaka sasa chini ya Dr Jonh J.P.Magufuli binafsi sijui kama nchi tunaelekea wapi maisha ya Mtanzania wa kawaida yamezidi kuwa magumu zaidi,kwa mfano jambo moja tu la sukari linatosha kuupima huongozi au utawala tuliona Tanzania kwa sasa walikuta sukari inaizwa 1800-2000 wakatoa kitu walichokiita bei elekezi sukari ikaadimika wakasema wamrangiza sukari wakatoa tena kitu kinaitwa bei elekezi kwa sasa sukani ni tsh 2800-3000 kwa hilo tu inatosha kusema serekali hii imeshidwa tangu mwanzo namipango yao yote ni nguvu za soda
 
''ASINGEKUWA NGUVU YA SODA ANGEFUMUA MIKATABA YA GESI NA MADINI TUJUE KODI NI KIASI GANI NA KWA NAMNA GANI TUNANUFAIKA NA HIZO RASILIMALI AMBAZO SIKU ZINAKUJA ZITAISHA, LAKINI PIA MIKATABA YA MAKAMPUNI YA UWINDAJI, LAKINI JAMBO LA KUSHANGAZA AMEKAZANA NA WATUMISHI HEWA NA MAJIPU NI SAWA NA KUTINDUA SAKAFU YA GHARAMA ILI KUMUUA SIAFU/MENDE MMOJA ILIHALI MASHIMO YA PANYA UMEYAACHA WAZI NA PANYA WANAENDELEA KUKUPA HASARA'' Aliposema hayo kijana yule alitokomea gizani na bahati mbaya hata sura sikuishika
 
Mkuu mbona huzungumzii masuala yanayompa Rais ujasiri wa kiuongozi kama vile Floor meter, vigogo kunyang'anywa mashamba walijimilikisha wakiwa ofsini, waliozoea kuendesha siasa za matukio kutakiwa sasa kutafuta ajenda zinazolijenga taifa. Bado kuna watu wanachukua mishahara wasio itolea jasho?
Mikataba mbali mbali ambayo serikali iliingia bila shaka umeshaujua msimamo wake, ukiwa ni pamoja kiburi cha kuwaambia wawekezaji wanaoona wanapata hasara kulipa kodi wafungashe kilicho chao.
Tuisubiri mahakama ya mafisadi ukamilike tutafumua kuanzia migodini hadi inapotoka gesi. Tutawatafuta na wale waliojificha nje ya mfumo uliotufisadisha watuambie walikuwa na nia gani kwa taifa
 
Je sasa Dawa Hospitalini Zipo? Je Vitanda Vipo? Je watoto bado wanakaa chini? Je Mafisadi Nyangumi bado wanapeta? Je Elimu ya Bure imeanza? Je Waalimu wanalipwa Mishahara yao ontime? Je Ajira Kwa Vijana Upo? Je Uhuru wa habari ipo? Je Uhuru wa Kisiasa Upo? Je Utawala wa Sheria Upo. Je hali ya Mwananchi Ni Bora zaidi Baada au Kabla ya Magufuli Kuchukua Utawala wa Nchi? ( Na Nichomekee kwa Kunong'ona jeee suukari ya kutosha ipoo) (Na mpaka Marekani Kuna Mitumba, Thrift stores, lakini ati nayo itanangwa nia ni nzuri lakini je si ndoto za Alinacha hizo?) Tumpime kwa hayo na Hatutampunja au kujipunja, sawa Mkuu! Unafiki udemagogi au Ukibendera fuata Upepo hausaidii, iwe ni "Hapa Fakti tu"
haya mashabiki ya ccm yananikera kweli kweli, sijui yanaroho ya kichawi?
 
Tulisema hata Mwinyi alianza hivyo, tukajipa matumaini kuwa hata Mkapa pia alikuja hivyo hivyo kwa nguvu za soda na askari wake wa miamvuli, hatukuishia hapo matumaini yakazidi tukadai hata Kikwetu pia alikuja na Nguvu mpya Ari mpya lakini wote hawakumaliza mwaka mambo yakarudi kuwa yale yale. Sitaki kuwachosha wale tulioamini kuwa nguvu za Magufuli ni za soda tu na ataachia, je, ni kweli hizo nguvu za soda zimeisha au ndo kwanza zimezidi wanabodi?
 
Sasa hivi wamechanganyikiwa hata hawajui nini wapinge nini wakubali maana Magufuli kawachanganya kabisa...bavicha wamepoteana mpaka wanamkimbilia Mange Kimambi Na msaliti wait Zitto
 
Tulisema hata Mwinyi alianza hivyo, tukajipa matumaini kuwa hata Mkapa pia alikuja hivyo hivyo kwa nguvu za soda na askari wake wa miamvuli, hatukuishia hapo matumaini yakazidi tukadai hata Kikwetu pia alikuja na Nguvu mpya Ari mpya lakini wote hawakumaliza mwaka mambo yakarudi kuwa yale yale. Sitaki kuwachosha wale tulioamini kuwa nguvu za Magufuli ni za soda tu na ataachia, je, ni kweli hizo nguvu za soda zimeisha au ndo kwanza zimezidi wanabodi?
Nguvu katika kufanya nini?

Urais hautaki nguvu, unataka akili.
 
Tulisema hata Mwinyi alianza hivyo, tukajipa matumaini kuwa hata Mkapa pia alikuja hivyo hivyo kwa nguvu za soda na askari wake wa miamvuli, hatukuishia hapo matumaini yakazidi tukadai hata Kikwetu pia alikuja na Nguvu mpya Ari mpya lakini wote hawakumaliza mwaka mambo yakarudi kuwa yale yale. Sitaki kuwachosha wale tulioamini kuwa nguvu za Magufuli ni za soda tu na ataachia, je, ni kweli hizo nguvu za soda zimeisha au ndo kwanza zimezidi wanabodi?

Nguvu za SODA kwa maana ameishahamisha goli anadeal na wanaomkosoa sasa hakuna viwanda wala nini kuna Vi-Wonder tu
 
Acha kumshusha Magufuli wetu wewe hivi kweli Magufuli ajisumbue na nyie wa hapa mchangani Hahaha Magufuli anapambana na wakina George Bush na mawaziri wakubwa wa Canada na US kwenye Barrick yao nyie hamumpi homa
 
Tulisema hata Mwinyi alianza hivyo, tukajipa matumaini kuwa hata Mkapa pia alikuja hivyo hivyo kwa nguvu za soda na askari wake wa miamvuli, hatukuishia hapo matumaini yakazidi tukadai hata Kikwetu pia alikuja na Nguvu mpya Ari mpya lakini wote hawakumaliza mwaka mambo yakarudi kuwa yale yale. Sitaki kuwachosha wale tulioamini kuwa nguvu za Magufuli ni za soda tu na ataachia, je, ni kweli hizo nguvu za soda zimeisha au ndo kwanza zimezidi wanabodi?
Na bado watakua wapole tu
 
Back
Top Bottom