SPACED
Senior Member
- Jun 7, 2016
- 137
- 132
Siku 100 za kutathimini mwelekeo wa utawala wa awamu ya tano zimeshapita, mwelekeo wa uendeshaji wa siasa zetu na utendaji wa utumishi serikalini kwa sasa uko bayani kwetu. Je, bado nguvu hii inaonekana ni ya soda?
Hoja ya udikteta nayo inaonekana sasa kuzoeleka na kukosa nguvu katika jamii, Je, nguvu ya soda imebaki eneo lipi la kiuongozi?
Hoja ya udikteta nayo inaonekana sasa kuzoeleka na kukosa nguvu katika jamii, Je, nguvu ya soda imebaki eneo lipi la kiuongozi?