Tulioomba Transfer UDOM tukutane hapa.

Tulioomba Transfer UDOM tukutane hapa.

club6

Senior Member
Joined
Apr 11, 2014
Posts
157
Reaction score
61
Habari wanaJF.

Kama kuna mtu aliyeomba transfer kwenda UDOM tukutane hapa tupeane moja mbili wakati tukiwa tunaendelea kusubiri tarehe za kupata majibu ya transfers zetu. Matusi kando tafadhali
 
Zimetoka lini kwa Bachelor !!?
 
Daaaah naona hui process kwa udom wanaifanya taratibu sana xo tuwe wavumilivu tu namii hapa nasubiri hii kitu
 
mwisho wa kuomba uhamisho kutoka chuo kimoja kwenda kingine ilikuwa ni tarehe 18 Nov,2016 na hiyo ni kwa chuo kupeleka majina ya watu iliyowachagua na kukubali franfer zao TCU. Tarehe 30 Nov 2016 ni mwisho wa TCU kutuma majina ya wanafunzi kutoka vyuo vilivyo pokea transfer za wanafunzi kwenda HESLB kwa ajili ya HESLB ku re-allocate fedha zao za mkopo, hivyo kunauwezekano mkubwa kwa waliofanya transfer ya chuo kuanza kupata boam lao kuanzia mwezi Desemba 2016
 
Back
Top Bottom