The Finest
JF-Expert Member
- Jul 14, 2010
- 21,605
- 6,082
Muzee weka maneno mafupi, sema "twende PM" unazunguka nini?oa
Tayari wamekwishaanzaaa....Kimey una akili wewe
Kidogo ungekuwa lawyer
Muzee weka maneno mafupi, sema "twende PM" unazunguka nini?oa
Tayari wamekwishaanzaaa....Kimey una akili wewe
Kidogo ungekuwa lawyer
Good sasa wewe nitafute tu i'm available anytime utaniambia shida yako hasa ni eneo lipi la ndoa then we can take it from there au kama ndio unaingia we will discuss what you should expect...i guess we're good
Muzee weka maneno mafupi, sema "twende PM" unazunguka nini?oa
Lol, ukishindwa kuyaamini maneno yangu shauri zako. Narudia tena kwa msisitizo ukitaka ndoa yako idumu kama chama cha mapinduzi mwone TF au mimi kwa maelezo zaidi.
Yashakukuta tayari mara hii mwaka tuuu??/
Hahaha! Ulikosea kuomba ushauri siku ya jumamosi, TF anatoa ushauri jumatatu mpaka ijumaa saa 6 mchana....sasa wewe uliona wapi mtu akatoa ushauri akiwa kaunta juu ya stuli ndefu?Kuna siku niliomba ushauri kwa TF ilikuwa balaa
Utafikiri ni wa kalumanzila
yaani ilikuwa ni full comedy nikaona hapa nimeingia chimbo haswa
Hahaha! Ulikosea kuomba ushauri siku ya jumamosi, TF anatoa ushauri jumatatu mpaka ijumaa saa 6 mchana....sasa wewe uliona wapi mtu akatoa ushauri akiwa kaunta juu ya stuli ndefu?
Kuna siku niliomba ushauri kwa TF ilikuwa balaa
Utafikiri ni wa kalumanzila
yaani ilikuwa ni full comedy nikaona hapa nimeingia chimbo haswa
Jumatatu hadi Ijumaa kuanzia saa 12 asubuhi hadi saa 11 jioni in case of emergency i will think of it.....Your free time please?maana kansela lazma awe na muda maalum shaka sina tena nina proof kutoka kwa SL
Umeona eheee soko limechanua hawa wamachinga wanakuja kuweka bidhaa mbele ya duka languhahaha we unamuingilia kansela?
Yaani unaniomba ushauri siku ya Jumamosi saa nane za usiku umeishaona wapi:lol:Kuna siku niliomba ushauri kwa TF ilikuwa balaa
Utafikiri ni wa kalumanzila
yaani ilikuwa ni full comedy nikaona hapa nimeingia chimbo haswa
Haswaa nimeongeza masaa sasa hivi natoa ushauri hadi saa 11 jioniHahaha! Ulikosea kuomba ushauri siku ya jumamosi, TF anatoa ushauri jumatatu mpaka ijumaa saa 6 mchana....sasa wewe uliona wapi mtu akatoa ushauri akiwa kaunta juu ya stuli ndefu?
Prishaz usisikilize majungu ya watu hawakaiii kusema hata ushauri ninaowapa hauwasaidiikwa maana nyingine ni kuwa TF haaminiki siyo? Tafadhali Mr Rocky embu iweke vizuri
Prishaz usisikilize majungu ya watu hawakaiii kusema hata ushauri ninaowapa hauwasaidii
kwa maana nyingine ni kuwa TF haaminiki siyo? Tafadhali Mr Rocky embu iweke vizuri
TF wewe sema ushauri wako unaoutoa ni wa kuvijna ndoa tuu
Yaani unataka ndoa zivunjike na wewe utake place pale soon
kabisa wala usiamini wala kumuamini atakachokuambia huyu ni bora ushauri wa kalumanzila kuliko TF
rocky hivi kuna watu wanatoa ushauri kwa ajiri ya kuharibu au kuvunja???
sasa badala yake unanishauri niende kwa kansela yupi? maana naelekea kumwamini!
Ndo maana nasema ushauri wake changanya na akili zako za kuzaliwa
Ushauri unaoelekea kukuambia we achana na ulie nae hakufai mchukue fulani huo sio ushauri
lakini yawezekana ukashauriwa kulingana na ulivyopeleka tatizo na uzito wa tatizo ulivyowakilisha[/QUOTE
Asante mkuu
Ila katika masuala yote ya kiushauri jiulize mwenyewe kwanza unataka nini na nini matarajio yako kabla ya kuomba ushauri kwa mtu
Upime kwa ufasaha ushauri utakaopewa na uwe na majibu yako na wazo lako mwewe kama wewe na then ufikiri na kuchambua kila utakaloambiwa