Tulionao tumekosea, michepuko ndio chaguo halisi

Mungu nae anajua. Ukiona umekubaliwa na mchepuko bila vikwazo, ujua nae mkeo kuna sehemu kamkubalia njemba bila vikwazo. Jino kwa jino.
 
Lengo kuu la michepuko ni mke kufa na kuzikwa apate nafasi ya mke kwanza atakushauri ili umuone bora,AKIshindwa chokoza mke anaanza kuloga,eti mchepuko!!kwenye mchepuko kuna mchepuko kwani nae hataki kuolewa uwe hawara mpaka lini?kwanza wababa waendeleza michepuko hawaishi miaka mingi angalia phychology hufa mapema bp kila mda hofu inawajaa na inapelekea bp na magonjwa ya moyo,marriage is the only place where ur inside n out character observed n such cheated relationship is an imagine picture of someone, kaanae uyo mchepuko km utamuweza,fukuzwa kazi uone, watu mnafilisika mnajirudia kwa wake,ww muandika mada kaoe ujue dhamani ya mke maana unaonekana unasuasua hata ndoa huna
 
Mwisho wa maisha haya ni upi? mbna tutachomwa moto siku ya mwsho.. Mke ulimuoa kwa mapenz yote mbele ya umat wa wa watu km mashaihid leo mchepuko unaona ndio wenye dhaman zaid ya yule ulienae ndan?!! ama kwel cjui tutafika wap

Mkizoeana sana mapenzi hayanogi labda muwe na upendo wa tofauti
 
Michepuko imekua msaada kwa wanaume wengi mana kule kuna mapenzi kupeti peti mahaba,mahabani na kuna high care ingawa ni illegal michepuko haitakaa iishe

Mpaka sometimes naona napendwa zaidi na mchepuko kuliko girlfriend
 
Lengo kuu la michepuko ni mke kufa na kuzikwa apate nafasi ya mke kwanza atakushauri ili umuone bora,AKIshindwa chokoza mke anaanza kuloga,eti mchepuko!!kwenye mchepuko kuna mchepuko kwani nae hataki kuolewa uwe hawara mpaka lini?kwanza wababa waendeleza michepuko hawaishi miaka mingi angalia phychology hufa mapema bp kila mda hofu inawajaa na inapelekea bp na magonjwa ya moyo,marriage is the only place where ur inside n out character observed n such cheated relationship is an imagine picture of someone, kaanae uyo mchepuko km utamuweza,fukuzwa kazi uone, watu mnafilisika mnajirudia kwa wake,ww muandika mada kaoe ujue dhamani ya mke maana unaonekana unasuasua hata ndoa huna

Sijui nimwoe nani maana nimeona mchepuko ananipenda zaidi kuliko baby
 
Hehe mi nilijua ushaoa kumbe bado...sasa huo mchepuko nao unataka uolewe na wewe so anajitaaahiidi kuplay u wife material lol....
 
Bado sijao wangu,hata hivo nitaanza kufanya mpango wa kuacha wote maana baby nae chenga nyingi
 
Hahaha fanya mchakato..ila usikurupuke..karibu chamani..ndoa tamuu
 
Kumbe we tayari,heri kuzinguana kwenye nipo nipo kuliko kuzinguana kwenye ndoa
 
Hahaha ndio.bora mzinguane nje unajua unatupa kulee unavuta mwingine...km ni mkristu km mimi ukiingia umeingia..ndio maana inabidi uhakikishe mtu unayeingia nae mnaendana nae ...thats why am married to my best friend ndio mimi tyr kuna mjanja mmoja kavuta chombo ndanii mwaka huu...
 
Hahaha ndio.bora mzinguane nje unajua unatupa kulee unavuta mwingine...km ni mkristu km mimi ukiingia umeingia..ndio maana inabidi uhakikishe mtu unayeingia nae mnaendana nae.. .. ndio mimi tyr kuna mjanja mmoja kavuta chombo ndanii mwaka huu...

Hehehe inaonekana kwenu kuna vifaa itabidi niwe karibu ndani nipate kifaa cha kuweka ndani
 
Vifaa vimeisha mi ndio nilikua namalizikiamooo....lol....
Maybe cousins
 
Hayo ndo mambo sasa,itabidi itabidi tuwe ndugu maana hamna namna nyingine sasa
 
Hahaha ila mchumba mzuri tafuta mwenyewe...ndio ananoga sio wa kuuunganishiwa...by the way wako wasichana walotulia na wako poa mpk utasema alikua wapi siku zote pray hard..utapata kitu chako pureeee..never touched by anyone😀
 
Never touched by anyone?

Kwenye haya mazingira utapata wa hivo?
 
Never touched by anyone?

Kwenye haya mazingira utapata wa hivo?

Yeees...I hv a friend of mine mwanzonI sikuamini but nilikuja kuamini...alikua na boyfriend but mvulana aliweka sex mbele n alimuona km hana future nzuri nae..the gal alikua ameplan kujitunza mpk apate mtu sahihi atayemuona anamstahili kumla lol... the guy akamwambia nataka unizalie mtt.dem akaona mmh huyu vipi....akasepa fasta..ss kumbe kuna jamaa alikua ana mind dem kitambo basi tu...katupa mistari dem akakubali..yule jamaa alikua ni matured tyr...anakazi nzuri..pesa so anahitaji kusettle...dem alivyomkubalia fasta akapropose..mara ndoa..kuja kukuta kitu puree....asimpe zawadi ya nyumba nini...n she was 27yrs old last yr So wapoo
 
Back
Top Bottom