Tulionao tumekosea, michepuko ndio chaguo halisi

Tulionao tumekosea, michepuko ndio chaguo halisi

shetani kwa kutudanganya bhana...... Niko kwa mchepuko, mchwpuko bado unaongea na simu na lidume tangu SAA mbili usiku hadi muda huu
 
Wakati mwingine sisi wanaume ni viumbe ambao ni undefined! Hata huyo MCHEPUKO ukiruhusiwa umuoe, after some time utatafuta MCHEPUKO tena!

Let the truth prevail: The major similarity between MEN & RATS is that THEY always search for NEW HOLES !
 
MITHALI 18:22 " apataye mke apata kitu chema, naye ajipatia kibali kwa Bwana"
 
Viol mkuu umekuwa adim mnooo...

Umenikoshaa mkuu kuhusu mchepuko, yani ile michepuko ambayo ni benefitable....

Mchepuko upo tayari kifanya cost sharing...

Mchepuko ambao ukiuambia upo hom na wife unakuelewaaa....usipige simu

Mchepuko ambao ukifulia unakutoa...

Mchepuko ambao unajari afya yenu unakukumbusha kutumia kinga..

Mchepuko ambao haukupi stress yani hata msipo wasiliana two days kwake ni okey....

Mchepuko ambao haukusumbui mara utanioa lini?

Mungu aibariki michepuko ya aina hiii...
 
Last edited by a moderator:
Kidumu chama cha michepuko.

Dunia ya leo michepuko imehalalishwa.
 
Viol mkuu umekuwa adim mnooo...

Umenikoshaa mkuu kuhusu mchepuko, yani ile michepuko ambayo ni benefitable....

Mchepuko upo tayari kifanya cost sharing...

Mchepuko ambao ukiuambia upo hom na wife unakuelewaaa....usipige simu

Mchepuko ambao ukifulia unakutoa...

Mchepuko ambao unajari afya yenu unakukumbusha kutumia kinga..

Mchepuko ambao haukupi stress yani hata msipo wasiliana two days kwake ni okey....

Mchepuko ambao haukusumbui mara utanioa lini?

Mungu aibariki michepuko ya aina hiii...

Hakika Hii ni Aina ya michepuko yenye sifa za juu na zilizotukuka kabisaa
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom