Tulionao tumekosea, michepuko ndio chaguo halisi

Tulionao tumekosea, michepuko ndio chaguo halisi

Ukifanya chaguo baya lazima utaangukia kwenye mchepuko mtamu maana utakuwa umejifunza na kujua kosa. Ni wachache wasiojua kosa lililofanyika mwanzo ndio hupata mchepuko bomu zaidi ya wa ndani. Raha sana ukimpata wako wa kufanana naye ndiyo maana michepuko mingi huwa zaidi ya mke!!

Fight for your happiness chagua kinachoendana nawe mapemaaaa! la sivyo utaishia kuchepuka!

Mkuu ukikutana name wrong mchepuko ndo utaumia,ila ukikutana na mchepuko mwenye mapenzi ya dhati hutaumia ukiumizwa na mpenzi wako maana unakuwa na back up ya kukupa amani
 
Hapo sawa kabisa mtapendana sana ndoa haiyumbi hamna kipya ya kuwazingua
, kwani mkeo huyo unaemlinganisha na mchepuko na unaona mchepuko ndio bora mwanzo wa mapenzi ilikuaje? Hayakuwa mashamsham?na ukawa unamuona yeye ndo yeye?hakuna kama yeye
hata huo mchepuko ukiufanya mke will be the same utauona sio wa maana tena
jifunze kumheshimu mkeo usimdharau kiasi cha kumlinganisha na mchepuko na kama unaona mchepuko ni bora
basi uamishie ndani....
nb: kama hujaoa umeamua kuchangamsha sio sawa kwa hiki ulichoandika
uwe na siku njema
 
sio kweli mkuu hiyo michepuko ikishawekwa kama mke tabia zao zinabadilika na kwenda kwenye uhalisia wao si ajabu akawa na mchepuko mwingine maana ndo tabia yake
 
A study revealed that, some women are just cut out to be Hot Totties/Side kicks. They only fit as such. They're happy that way, you're happy that way, keep it that way. Do not push for more.

Another study also, revealed that, most men who cheat on their wives, do so cuz they feel inferior. They go for the mistresses cuz that's the only way they can feel good about their insecurities. With mistresses, they're allowed to be anything but, a father, a husband, and most importantly, a man.

Therefore, cheating is for the weak.
 
, kwani mkeo huyo unaemlinganisha na mchepuko na unaona mchepuko ndio bora mwanzo wa mapenzi ilikuaje? Hayakuwa mashamsham?na ukawa unamuona yeye ndo yeye?hakuna kama yeye
hata huo mchepuko ukiufanya mke will be the same utauona sio wa maana tena
jifunze kumheshimu mkeo usimdharau kiasi cha kumlinganisha na mchepuko na kama unaona mchepuko ni bora
basi uamishie ndani....
nb: kama hujaoa umeamua kuchangamsha sio sawa kwa hiki ulichoandika
uwe na siku njema

Wengine wanakuja kubadilika kwenye ndoa,mwanzoni wanajifanya wanapenda ila we na mchepuko mnakuwa mnaishi maisha halisi
 
Viol

Mhamishie home miezi mitatu tu, uone kama ile furaha na bashasha zitakuwepo

Kumbuka mapenzi ni responsibility iliyochanganyika na mahaba, wengi walioamua kuipa permanent residency michepuko, hawana raha
 
Last edited by a moderator:

Mkuu unaoa kila siku vurugu unakuta mchepuko anakupa raha
 
In China they are called leftovers....
ukiwa na njaa kipolo can do
A study revealed that, some women are just cut out to be Hot Totties/Side kicks. They only fit as such. They're happy that way, you're happy that way, keep it that way. Do not push for more.

Another study also, revealed that, most men who cheat on their wives, do so cuz they feel inferior. They go for the mistresses cuz that's the only way they can feel good about their insecurities. With mistresses, they're allowed to be anything but, a father, a husband, and most importantly, a man.

Therefore, cheating is for the weak.
 
Wengine wanakuja kubadilika kwenye ndoa,mwanzoni wanajifanya wanapenda ila we na mchepuko mnakuwa mnaishi maisha halisi

Ila umekumbwa na kitu gani my bro hadi utujie na hili bandiko...
 
Viol

ukianza kuzeeka mafalsafa ya ajabu ajabu tu yanaanza kukujia,n'way....
 
Last edited by a moderator:
Hii ID ina maana mimi ndo mother house...wengine (kama wapo) wataishia 'kusuuza tu' part time...I am here to stay..
Kama yuko angojae pembeni nimpishe atasubiri saaaana...hadi achache (maana kiporo kuchacha ni just a matter of time)

I see. Id yako ina-suggest umekubaliana na hiyo hali. Na kama umekubali, haiwi cheating tena.
 
Chagua mchepuko anayekupenda siyo mtuliza kiu
Sasa utajuaje kama anakupenda,maana kama una kwanja wote watakupenda na kamwe hutajua yupi kati yao ana upendo wa kweli
 
Back
Top Bottom