Viol
JF-Expert Member
- Dec 15, 2009
- 25,419
- 18,371
- Thread starter
- #101
Yeees...I hv a friend of mine mwanzonI sikuamini but nilikuja kuamini...alikua na boyfriend but mvulana aliweka sex mbele n alimuona km hana future nzuri nae..the gal alikua ameplan kujitunza mpk apate mtu sahihi atayemuona anamstahili kumla lol... the guy akamwambia nataka unizalie mtt.dem akaona mmh huyu vipi....akasepa fasta..ss kumbe kuna jamaa alikua ana mind dem kitambo basi tu...katupa mistari dem akakubali..yule jamaa alikua ni matured tyr...anakazi nzuri..pesa so anahitaji kusettle...dem alivyomkubalia fasta akapropose..mara ndoa..kuja kukuta kitu puree....asimpe zawadi ya nyumba nini...n she was 27yrs old last yr So wapoo
Dah aisee jamaa ana bahati sana na hiyo hutokea mara chache,na kuwafahamu wanawake wa hivo ni ngumu mno