and 998 others
JF-Expert Member
- Jun 27, 2012
- 28,224
- 39,703
O
OkayTutamuombea sisi!
OkayTutamuombea sisi!
So sad, so sad!Ndugu Watanzania wenzangu, wapenda amani wenzangu. Nakuja mbele zenu jioni hii naomba wote kwa umoja wetu tuliombee Taifa letu.
Tuwaombee viongozi wetu, Tuombee familia zetu kwa ujumla lakini pia tumuombee Rais wetu Mhe. John Pombe Magufuli.
Nimeangalia picha za leo za Mheshimiwa ni kama mtu alieumia sana. Tumuombee apate Hekima na Busara[emoji1431] Tutafika.
Picha za Rais wangu zimenifundisha kitu kikubwa sana. Uchungu huwezi kuuficha kila siku ipo siku utakushinda.
Tuache mengine yote, tujikinge, tujilinde na tulinde taifa letu. Kila mmoja wetu anaumia.
Uliona visivyoonekanaSo sad, so sad!
Amen🙏🏽 Mungu amuweke mahala pema peponi. I hope tulimuombea mema amepumzika mahala pema peponiMbele yake nyuma yetu...