financial services
JF-Expert Member
- May 17, 2017
- 18,141
- 43,367
Duuuh, kabila gani hilo unaongea hivoonikihangaria majibu yak yanantia ngufu, napat hamas ya kutak kukujuamo fizuri
Duuuh, kabila gani hilo unaongea hivoonikihangaria majibu yak yanantia ngufu, napat hamas ya kutak kukujuamo fizuri
Nipo hukuuuuSitak kuamin , hiko kitu anyway unaishi mkoa gani ?
Hahaha, anyways Niaje Mkuu!Duuuh, kabila gani hilo unaongea hivoo
Haha wap huko km hutak kuanika hapa nitumie huo mkoa pmNipo hukuuuu

Hahaaa, hako ni kajina tu usiogopeeMambo poa sana, nakuangalia tu hahahahaha nitapataje na mimi huduma ya kifedha
Hivi ni lini tunaanzisha kikundi chetu cha kulima korosho na pambaDooh kwann unaniona hivyo mkuu?, Mimi ni mkulima halisi kbs tena kilimo cha jembe la mkonooo
Exactly mkuu![]()
love doesn't ask why
Wapi huko finacial service nije aiseeh tuyajengeNipo hukuuuu
ila umeshakuwa wa binadamu sio!Dah la nne B ,isingekuwa ukorofi ningekuwa natafuta Udaktari wa Falsafa sasa
Salalee!
Poa tu za huko uliko?Hahaha, anyways Niaje Mkuu!
Uzuri wa sisi la saba huwa hatulingagi eti kuchagua chagua mtu wa kuoa ....sisi mioyo yetu huwa ikidondoka imedondoka tu haijalishi imedondoka wapiExactly mkuu
Ntakutumia usijaliHaha wap huko km hutak kuanika hapa nitumie huo mkoa pm![]()
Ulitakiwa uwe la nne A,huko B walikua vilazaDah la nne B ,isingekuwa ukorofi ningekuwa natafuta Udaktari wa Falsafa sasa
Salalee!
Safi kabisa Mwenyezi Mungu anasaidia, Asante sana kwa Support yako!Poa tu za huko uliko?
Tuanzishe tu kwakweli, ntakua mtunza hazina plz nisha book mapemaHivi ni lini tunaanzisha kikundi chetu cha kulima korosho na pamba

Ili usepe na hela sio. ...Tuanzishe tu kwakweli, ntakua mtunza hazina plz nisha book mapema![]()
![]()
Thanks too Santana mkaka wa block D ,nimeenjoy kuchatchatSafi kabisa Mwenyezi Mungu anasaidia, Asante sana kwa Support yako!