Tulioishambulia CHADEMA tukutane hapa

Na wa madiwani juzi haukufanyika?
Hakuna uchaguzi Tanzania bwana ni maigizo tu ccm wanafanya. Uchaguzi gani unafanyika kwa sheria zilizoundwa na haohao ccm.

Wewe uliwahi kuona wapi timu zinacheza na eti timu moja inakuja na mwamuzi na waamuzi wa akiba kuchezesha hiyo mechi. Very stupid.
 
Back
Top Bottom