Tulioishambulia CHADEMA tukutane hapa

Habari .

Wote tumeshuhudia CHADEMA ikipukutika kutoka kuwa na wabunge zaidi ya 100 mwaka 2015 hadi kubaki na mbunge mmoja wa kuchaguliwa mwaka 2020!!

Nyuma ya kupukutika huko kwa CHADEMA kuna watu wamefanya kazi kubwa ya kuwaonyesha watanzania maovu ya chama hicho hadi watanzania kufikia hatua ya kukikataa kabisa chama hicho.

Swala la kumfukuza Mbowe baada ya chama kumfia mkononi tuwaachie wana chadema wenyewe.

Lengo la uzi huu ni kuitana hapa na kupongezana huku tukigonga glass za x mass kwa mashujaa wote tuliohusika kuishambulia CHADEMA usiku na mchana bila kuchoka kwa miaka 5 mfululizo.

Karibuni sana.
Adui wa watanzania siyo chaema. Adui na chanzo cha umasikini wa watanzania ni ccm. Chama ambacho ukiwa mjinga unakuwa potential. Kama wewe ulivyo mjinga.
Tupe faida na changamoto zilizotokana na ziara za Joyce wowo/bashite/ makonda.
 
Katika watu niliokutana nao huu mwaka ambao hawana akili sawa sawa wewe ni wa pili na mwenye akili mbovu kuliko wa kwanza
 
Yapata miaka mi4 sasa, tupe mrejesho wa faida ulizopata. Bunge la chama kimoja unalionaje kwa sasa? Vipi maendeleo yapo ya kimbunga? Haya, chadema waliwachelewesha, tuambieni sasa mko sayari ya ngapi kimaendeleo? Chadema ipo ila Magu hayupo. Unajifunza nini kwa hili? Kula siku huwa tunasema humu kuwa nchi hii haitakaa iendelee kama mawazo ya watu wake ni ya kipumbavu kama haya. Umezidi upumbavu na mbaya zaidi hutambui kuwa wewe ni mpumbavu

Hata wewe utakufa utaiacha ccm
 
Wewe ni mpumbavu. Unasumbuliwa na ujinga wa kihalaiki. Ccm ndiyo chanzo cha mambo yote badala ya kudil na ccm unawatukana kina zitto. Wameshawahi kuongoza Tanzania? Zumbukuku?
Kamfufue uzikwe wewe

Msaliti lazima ashambuliwe popote alipo
 
Adui wa watanzania siyo chaema. Adui na chanzo cha umasikini wa watanzania ni ccm. Chama ambacho ukiwa mjinga unakuwa potential. Kama wewe ulivyo mjinga.
Tupe faida na changamoto zilizotokana na ziara za Joyce wowo/bashite/ makonda.

Unampenda sana mmeo bashite
 
Habari .

Wote tumeshuhudia CHADEMA ikipukutika kutoka kuwa na wabunge zaidi ya 100 mwaka 2015 hadi kubaki na mbunge mmoja wa kuchaguliwa mwaka 2020!!

Nyuma ya kupukutika huko kwa CHADEMA kuna watu wamefanya kazi kubwa ya kuwaonyesha watanzania maovu ya chama hicho hadi watanzania kufikia hatua ya kukikataa kabisa chama hicho.

Swala la kumfukuza Mbowe baada ya chama kumfia mkononi tuwaachie wana chadema wenyewe.

Lengo la uzi huu ni kuitana hapa na kupongezana huku tukigonga glass za x mass kwa mashujaa wote tuliohusika kuishambulia CHADEMA usiku na mchana bila kuchoka kwa miaka 5 mfululizo.

Karibuni sana.
Huu nao ni umalaya kisiasa 😀

Huu nao ni umalaya wa kisiasa 🙃
 
Mwanzoni nilidhani una uwezo mzuri wa kufikiri, lakini nimegundua wewe ni zaidi Lucas Mwashambwa.

Yule aliyepora uchaguzi kwa wizi, nguvu na vitisho mtamfufua aje tena? Bahati mbaya huyu mliye nae ana kaustaharabu kiasi na mcha Mungu kwa vitendo. Msipoangalia baada 2025 mtakuwa chama cha upinzani.
 
Hivi mzee, ukisoma tu comments za wadau humu unajiona wewe ni mzima kweli? Kuna mambo unaweza ukawa unafanya na hayaendi vizuri mara michongo haiendi vizuri just because unajichumia laana mwenyewe kwa njaa zako na mahaba yako kwa chama tawala. Kuwa mzalendo kwa nchi yako na sio kuwa mzalendo kwa chama ukawapuuza wazalendo wa nchi. Unajitafutia laana kwa nguvu zako mwenyewe
 
Chadema wanaopinga miradi yote ya maendeleo ndiyo wazalendo?
 
Mwanzoni nilidhani una uwezo mzuri wa kufikiri, lakini nimegundua wewe ni zaidi Lucas Mwashambwa.

Yule aliyepora uchaguzi kwa wizi, nguvu na vitisho mtamfufua aje tena? Bahati mbaya huyu mliye nae ana kaustaharabu kiasi na mcha Mungu kwa vitendo. Msipoangalia baada 2025 mtakuwa chama cha upinzani.

Uchaguzi wa juzi tu hapa chini ya Samia ccm imeshinda kata zote kwenye udiwani , napo Samia alipora?
 
Habari .

Wote tumeshuhudia CHADEMA ikipukutika kutoka kuwa na wabunge zaidi ya 100 mwaka 2015 hadi kubaki na mbunge mmoja wa kuchaguliwa mwaka 2020!!

Nyuma ya kupukutika huko kwa CHADEMA kuna watu wamefanya kazi kubwa ya kuwaonyesha watanzania maovu ya chama hicho hadi watanzania kufikia hatua ya kukikataa kabisa chama hicho, ikiwemo kupinga miradi yote ya maendeleo kama ujenzi wa bwawa la umeme, SGR, Ndege , ujenzi wa flyover, na kusaliti harakati za kidai kodi kwenye madini kwa kitisho kwamba tutashitakiwa MIGA!.

Swala la kumfukuza Mbowe baada ya chama kumfia mkononi tuwaachie wana chadema wenyewe.

Lengo la uzi huu ni kuitana hapa na kupongezana huku tukigonga glass za x mass kwa mashujaa wote tuliohusika kuishambulia CHADEMA usiku na mchana bila kuchoka kwa miaka 5 mfululizo.

Karibuni sana.
Kama siyo "mad man" kupiga/kuteka/kufunga viongozi upinzani na kutishia kutumia dola kuwanyima wananchi maendeleo endapo wangechagua upinzani hali ingekuwa tofauti, sema punguani (mad people) wenzie hawezi kulijua hilo!!!
 
Juzi walitishwa na nani hadi wakachagua madiwani wote wa ccm?
 
Back
Top Bottom