Mwifwa
JF-Expert Member
- Apr 3, 2017
- 48,718
- 126,564
Acha kudanganya watu eti tunaruka ruka tuMaisha ya mwanaume yanaazna pale anapooa so ww kama ni bachelor jua kabisa hauishi unaruka ruka tu.
.
pili watu wengi wanazani kuchelewa kuona kuna afazali laa sio kweli, siku zote mapito ya ndoa ni yale yale yaani mkiona mkiwa watu wazima kupitia kipindi kigumu ni vile vile hata mkiooana mkiwa watoto mtapitia tu lakni anaafadhali yule atakayelia ndoa ngumu akiwa na 25yrs kuliko yule atakayelia akiwa na 40yrs yaani umri wa baba kuitwa babu ww utakuwa unalia kwa machungu ya ndoa tena kwa kipindi icho utakuta umeoa kadem ka 24yrs so unalia kwa kadem ka 24so sad.
.
mwisho tu kuoa kwa mwanaume aliyekamilika kupo tu na hakukwepeki kula wanawake kadri uwezavyo lakn jua kuna mda utaowa tuu

Tatizo hilo.Hakika, changamot kubwa iliopo kwa mkwe akihitaj msaad fulan nkishndwa kutekelza kwa wakat anasema maneno mabovu
Hapa ni mwendo wa kula mbususu hamna kuoa hawa wanawakeMaisha ya mwanaume yanaazna pale anapooa so ww kama ni bachelor jua kabisa hauishi unaruka ruka tu.
Pili watu wengi wanazani kuchelewa kuona kuna afazali laa sio kweli, siku zote mapito ya ndoa ni yale yale yaani mkiona mkiwa watu wazima kupitia kipindi kigumu ni vile vile hata mkiooana mkiwa watoto mtapitia tu lakni anaafadhali yule atakayelia ndoa ngumu akiwa na 25yrs kuliko yule atakayelia akiwa na 40yrs yaani umri wa baba kuitwa babu ww utakuwa unalia kwa machungu ya ndoa tena kwa kipindi icho utakuta umeoa kadem ka 24yrs so unalia kwa kadem ka 24so sad.
Mwisho tu kuoa kwa mwanaume aliyekamilika kupo tu na hakukwepeki kula wanawake kadri uwezavyo lakn jua kuna mda utaowa tuu
Yoyote yule, wanawake wazuri kila siku unapotembea unakutana nao kwaiyo utajikuta unajiona kwanini nimewahi kuoa na unaweza kumpata dem wa nje mzuri kumzidi mkeo wakatofautia tabia ukajuta kwanini uliwahi kuoa mapemaInategemea pia umemua nani?
Akinyonyesha kuna shida gani?Shukran mkuu,, cha ajabu sas tangu nioe nikitongoza dem anakataa maana mwanamk ananyonyesh kwasas
Ukifikisha 45 utaanza kufikiria kuoa.Nina Miaka 32
SINA MPANGO na wala SIFIKIRII KUOA.
#YNWA
Umri haukomazi akili mkuu ni uwezo tu wa kuchanganua mamboKuna mtoto wa uncle wangu alilazimishaga kuoa mapema akiwa na 24 alishauriwa asubiri ye akakomaa
Siku moja baada ya miez Kama 6 ya ndoa alinitamkia mwenyewe kuwa Kuishi na mwanamke ni kazi sana akiwa anakuja geto unamchakata Mara kakusaidia kukunja nguo kufuta vumbi utaona raha sana maana hapo unakua unauona upande mmoja tu wa uzuri wake ila ishi nae uone na upande wa mabaya au udhaifu wake uone jinsi utakavyo mchoka haraka.
Kuna muda kwenye ndoa Mapenzi yanaisha kabisa inabaki uvumilivu , hapa sasa Kama bado unaakili za kitoto na huna busara unaweza kujikuta umeshaachana na mwanamke. Kuliko kuoa mapema ni Bora usubiri ufike umri fulani ukomae kiakili na uwe na busara ya kuishi na mwanamke
Kwa unaruhusiwa kumtomber mkeo wakati ananyonyesha?Akinyonyesha kuna shida gani??
Y 45?Ukifikisha 45 utaanza kufikiria kuoa.
Inaruhusiwa ila husiwe umetoka kuchepuka, utambemenda mtotoKwa unaruhusiwa kumtomber mkeo wakati ananyonyesha?
Kwa hiyo ata wife anaweza ninyonyesha mie pia?Inaruhusiwa ila husiwe umetoka kuchepuka, utambemenda mtoto
Sasa huko nako ni PEPO la ngono na uhasherati yaan utakuwa hujui sasa ni nini kusudio la Mungu kukuleta hapa duniani na utashawishiwa na umalaya 😂😂 unatakiwa uridhike na ukipatachoYoyote yule, wanawake wazuri kila siku unapotembea unakutana nao kwaiyo utajikuta unajiona kwanini nimewahi kuoa na unaweza kumpata dem wa nje mzuri kumzidi mkeo wakatofautia tabia ukajuta kwanini uliwahi kuoa mapema
Sent using Jamii Forums mobile app
Huyu saa 4 ndio kaondoka 😅😅😅Umeondoka disco saa 6 usiku
Umemuelewa?
Kuwahi kuoa ni sawa na kuondoka disco saa 3 ambapo ndio linakuwa limeanza kuchanganya.
Unaoa una miaka 22-26 hapa ndio kwanza umri wa kuruka ruka na mbususu tofauti.


