Nas Jr
JF-Expert Member
- May 15, 2018
- 7,918
- 8,704
Naunga mkono hoja untill further notice.Nina Miaka 32
SINA MPANGO na wala SIFIKIRII KUOA.
#YNWA

Hello wanaJF
Mimi ni miongonI mwa wanaume waliooa wakiwa na umri mdogo......
Nikiwa na miaka 22 nilianzisha uhusiano na mwanamke X tulipendana saaana, mkwe (mama) alipogundua nina mahusiano na mwanae akaanza nichukia na kunisemea maneno makali...
Kadiri siku zilivyoenda uhusiano ulizidi kunawiri, mpenzi wangu akaanza kulala kwangu siku mojamoja na hatimaye wiki.
Wajomba wa mwanamke wakanifata wakaniambia nimuoe ndugu yao na kama sipo tayari nimuache binti yao.....
Lakini mkwe alikuwa hanipendi kwa sababu ya umaskini, kiukwel sikuwa na kazi inayoeleweka zaidi tu ya kuishi kwa kubahatisha...
Mapenzi yana nguvu, nilikubali shauri la wajomba wa mke nikaamua nioe nikiwa na miaka 23 tu.
Kiukweli maisha yalikuwa magumu ila tulionekana na furaha sana haswa mke wangu kwani alizidi nawiri na kunenepa.
Nikaanza kujitolea kufundsha shule X nikawa napata kifuta jasho, punde serikali ya Magu ikatangaza ajira kwakuwa nilisoma mbali na mkoa wetu nikamshauri mke tuuze simu yake smartphone nipate nauli ya kufata cheti chuoni.
Zoezi likakamilika nikafuata cheti nikaapply lakini nikatemwa sijubahatika kuchaguliwa.
Punde mke akashika ujauzito, nilianza kupata mawazo kwano sikuwa na kazi ya uhakika niliwaza wapi nitapata pesa ya kuhudumia mtoto pindi atakapozaliwa au hata gharama za hospitali kwa lolote litakalotokea liwe dogo au kubwa...
Mungu mkubwa, nikabahatika kupata kazi English Medium ambapo nipo hadi sasa na umri wangu miaka 25 tu..
Kuna wakati najiuliza kwa nini nilioa mapema? Lakin pia nawaza je bila kumuoa huyu mwanamke hela ya kufata cheti chuoni ningeipata wap??? Kwani iko cheti ndio kimetusaidia nipate kazi hapa nilipo...
Nimeamini ndoa hufungwa mbinguni pia ukioa ridhiki huongezwa, maana maisha niliokua naishi wakati sijaoa yalikuwa magumu sana kuliko saizi.
Bado sijafika ila nilipotoka na nilipo tofauti ingawa TAMISEMI wamenitema tena kwenye mkeka wa wiki iliyopita.
Hongera zenu, na kila la Kheri! Cha muhimu nibiuwa una ajira, hayo ya tamisemi si ajabu yakawavuruga Kwa kupangiwa sehemu zisizoeleweka, na malipo ya kubahatisha. Jiimarisheni kiuchumi kwa chochote mnachopata, fanya tuition kama muda unaruhusu n.k.Hello wanaJF
Mimi ni miongonI mwa wanaume waliooa wakiwa na umri mdogo......
Nikiwa na miaka 22 nilianzisha uhusiano na mwanamke X tulipendana saaana, mkwe (mama) alipogundua nina mahusiano na mwanae akaanza nichukia na kunisemea maneno makali...
Kadiri siku zilivyoenda uhusiano ulizidi kunawiri, mpenzi wangu akaanza kulala kwangu siku mojamoja na hatimaye wiki.
Wajomba wa mwanamke wakanifata wakaniambia nimuoe ndugu yao na kama sipo tayari nimuache binti yao.....
Lakini mkwe alikuwa hanipendi kwa sababu ya umaskini, kiukwel sikuwa na kazi inayoeleweka zaidi tu ya kuishi kwa kubahatisha...
Mapenzi yana nguvu, nilikubali shauri la wajomba wa mke nikaamua nioe nikiwa na miaka 23 tu.
Kiukweli maisha yalikuwa magumu ila tulionekana na furaha sana haswa mke wangu kwani alizidi nawiri na kunenepa.
Nikaanza kujitolea kufundsha shule X nikawa napata kifuta jasho, punde serikali ya Magu ikatangaza ajira kwakuwa nilisoma mbali na mkoa wetu nikamshauri mke tuuze simu yake smartphone nipate nauli ya kufata cheti chuoni.
Zoezi likakamilika nikafuata cheti nikaapply lakini nikatemwa sijubahatika kuchaguliwa.
Punde mke akashika ujauzito, nilianza kupata mawazo kwano sikuwa na kazi ya uhakika niliwaza wapi nitapata pesa ya kuhudumia mtoto pindi atakapozaliwa au hata gharama za hospitali kwa lolote litakalotokea liwe dogo au kubwa...
Mungu mkubwa, nikabahatika kupata kazi English Medium ambapo nipo hadi sasa na umri wangu miaka 25 tu..
Kuna wakati najiuliza kwa nini nilioa mapema? Lakin pia nawaza je bila kumuoa huyu mwanamke hela ya kufata cheti chuoni ningeipata wap??? Kwani iko cheti ndio kimetusaidia nipate kazi hapa nilipo...
Nimeamini ndoa hufungwa mbinguni pia ukioa ridhiki huongezwa, maana maisha niliokua naishi wakati sijaoa yalikuwa magumu sana kuliko saizi.
Bado sijafika ila nilipotoka na nilipo tofauti ingawa TAMISEMI wamenitema tena kwenye mkeka wa wiki iliyopita.
Kawatoroka vivuruge!Umeondoka disco saa 6 usiku
Ukipendwa, na wewe upende, sio kucheza.Naona ulioa mapema kwasababu ya ugeni wako penzini, ila kama ingetokea uachane na huyo mkeo kabla ya kuoana nae basi naamini ungeendelea kuwabadilisha tu.
Huu ndio ujinga wa wengi, utalaaniwa!Shukran mkuu,, cha ajabu sas tangu nioe nikitongoza dem anakataa maana mwanamk ananyonyesh kwasas
Hii sindano inapenya kumoyo.Umeondoka disco saa 6 usiku
Nilioa nikiwa na 24 hivi, sijajuta hata siku moja. Kwanza nilikuwa tayari nina ajira ya uhakika. Na mke wangu alikuwa ni mwajiriwa pia halafu aged kama 29 hivi.Hello wanaJF
Mimi ni miongonI mwa wanaume waliooa wakiwa na umri mdogo......
Nikiwa na miaka 22 nilianzisha uhusiano na mwanamke X tulipendana saaana, mkwe (mama) alipogundua nina mahusiano na mwanae akaanza nichukia na kunisemea maneno makali...
Kadiri siku zilivyoenda uhusiano ulizidi kunawiri, mpenzi wangu akaanza kulala kwangu siku mojamoja na hatimaye wiki.
Wajomba wa mwanamke wakanifata wakaniambia nimuoe ndugu yao na kama sipo tayari nimuache binti yao.....
Lakini mkwe alikuwa hanipendi kwa sababu ya umaskini, kiukwel sikuwa na kazi inayoeleweka zaidi tu ya kuishi kwa kubahatisha...
Mapenzi yana nguvu, nilikubali shauri la wajomba wa mke nikaamua nioe nikiwa na miaka 23 tu.
Kiukweli maisha yalikuwa magumu ila tulionekana na furaha sana haswa mke wangu kwani alizidi nawiri na kunenepa.
Nikaanza kujitolea kufundsha shule X nikawa napata kifuta jasho, punde serikali ya Magu ikatangaza ajira kwakuwa nilisoma mbali na mkoa wetu nikamshauri mke tuuze simu yake smartphone nipate nauli ya kufata cheti chuoni.
Zoezi likakamilika nikafuata cheti nikaapply lakini nikatemwa sijubahatika kuchaguliwa.
Punde mke akashika ujauzito, nilianza kupata mawazo kwano sikuwa na kazi ya uhakika niliwaza wapi nitapata pesa ya kuhudumia mtoto pindi atakapozaliwa au hata gharama za hospitali kwa lolote litakalotokea liwe dogo au kubwa...
Mungu mkubwa, nikabahatika kupata kazi English Medium ambapo nipo hadi sasa na umri wangu miaka 25 tu..
Kuna wakati najiuliza kwa nini nilioa mapema? Lakin pia nawaza je bila kumuoa huyu mwanamke hela ya kufata cheti chuoni ningeipata wap??? Kwani iko cheti ndio kimetusaidia nipate kazi hapa nilipo...
Nimeamini ndoa hufungwa mbinguni pia ukioa ridhiki huongezwa, maana maisha niliokua naishi wakati sijaoa yalikuwa magumu sana kuliko saizi.
Bado sijafika ila nilipotoka na nilipo tofauti ingawa TAMISEMI wamenitema tena kwenye mkeka wa wiki iliyopita.
Misery loves company.waliooa wengi wanakasumba ya kulazimisha watu waoe!!… sielewagi nn shida utafikiri kuna kitu wanaongezewa mtu ukioa…
Kuna jamaa kila tukiongea ndo mada zake we oa mbna hujaoa??
sijui ukioa haka kaugonjwa ka akili kanakupata
Huu uzi uitwe "NYEGE INFLUENTIALS"!😂😂😂Hello wanaJF
Mimi ni miongonI mwa wanaume waliooa wakiwa na umri mdogo......
Nikiwa na miaka 22 nilianzisha uhusiano na mwanamke X tulipendana saaana, mkwe (mama) alipogundua nina mahusiano na mwanae akaanza nichukia na kunisemea maneno makali...
Kadiri siku zilivyoenda uhusiano ulizidi kunawiri, mpenzi wangu akaanza kulala kwangu siku mojamoja na hatimaye wiki.
Wajomba wa mwanamke wakanifata wakaniambia nimuoe ndugu yao na kama sipo tayari nimuache binti yao.....
Lakini mkwe alikuwa hanipendi kwa sababu ya umaskini, kiukwel sikuwa na kazi inayoeleweka zaidi tu ya kuishi kwa kubahatisha...
Mapenzi yana nguvu, nilikubali shauri la wajomba wa mke nikaamua nioe nikiwa na miaka 23 tu.
Kiukweli maisha yalikuwa magumu ila tulionekana na furaha sana haswa mke wangu kwani alizidi nawiri na kunenepa.
Nikaanza kujitolea kufundsha shule X nikawa napata kifuta jasho, punde serikali ya Magu ikatangaza ajira kwakuwa nilisoma mbali na mkoa wetu nikamshauri mke tuuze simu yake smartphone nipate nauli ya kufata cheti chuoni.
Zoezi likakamilika nikafuata cheti nikaapply lakini nikatemwa sijubahatika kuchaguliwa.
Punde mke akashika ujauzito, nilianza kupata mawazo kwano sikuwa na kazi ya uhakika niliwaza wapi nitapata pesa ya kuhudumia mtoto pindi atakapozaliwa au hata gharama za hospitali kwa lolote litakalotokea liwe dogo au kubwa...
Mungu mkubwa, nikabahatika kupata kazi English Medium ambapo nipo hadi sasa na umri wangu miaka 25 tu..
Kuna wakati najiuliza kwanini nilioa mapema? Lakini pia nawaza je bila kumuoa huyu mwanamke hela ya kufata cheti chuoni ningeipata wap? Kwani iko cheti ndio kimetusaidia nipate kazi hapa nilipo.
Nimeamini ndoa hufungwa mbinguni pia ukioa ridhiki huongezwa, maana maisha niliokuwa naishi wakati sijaoa yalikuwa magumu sana kuliko sasa hivi.
Bado sijafika ila nilipotoka na nilipo tofauti ingawa TAMISEMI wamenitema tena kwenye mkeka wa wiki iliyopita.
Siyo nzuri kuvile ukioa mapema utakuwa unawaona mademu wa nje wazuri kuliko mke uliowahi kumuoa mapemaKiukweli kuoa mapema ni nzuri sanaa
Asikutishe mkuu....mtu mwenye hekima zaidi alikua na mke zaidi ya mmoja, hyo laana ikupate wewe tuHuu ndio ujinga wa wengi, utalaaniwa!
Inategemea pia umemua nani?Siyo nzuri kuvile ukioa mapema utakuwa unawaona mademu wa nje wazuri kuliko mke uliowahi kumuoa mapema
Misery loves company.
...indeedNaunga mkono hojaNina Miaka 32
SINA MPANGO na wala SIFIKIRII KUOA.
#YNWA

so sad.Kwa hiyo unasubiri hadi mtoto aache kunyonya ndio uanze kula?Shukran mkuu,, cha ajabu sas tangu nioe nikitongoza dem anakataa maana mwanamk ananyonyesh kwasas