Mtili wandu
JF-Expert Member
- Dec 15, 2012
- 9,293
- 12,875
Duuuh umenikumbusha mbali Bills unatoka hostel saa sita kichaa cha disco kipo juu hapo.Umeondoka disco saa 6 usiku
Duuuh umenikumbusha mbali Bills unatoka hostel saa sita kichaa cha disco kipo juu hapo.Umeondoka disco saa 6 usiku
Hakika, changamoto kubwa iliyopo kwa mkwe akihitaj msaada fulani nikishndwa kutekelza kwa wakati anasema maneno mabovuMdogo angu shukuru Mungu kwa hatua uliyofikia... Binafsi story yako inafanana ukitoa swala la kuchukiwa na ma mkwe ila leo baada ya miaka 8 ya ndoa najuta kwann nilimuoa, maisha yangu yamerudi nyuma style ya 5g.
somo: mwanamke asikufanye u relax maana kuna siku na saa utashangaa maajabu yake, kikumbwa weka mguu pande mguu sawa usijepotea kwenye ramani kikibuma
🤣🤣🤣Duuuh umenikumbusha mbali Bills unatoka hostel saa sita kichaa cha disco kipo juu hapo.
Usicheke wewe toa ruksa tu🙃😂😂😂😂
sku hizi hadi kwenye comments mnatuimbisha 🤣🤣🤣🤣Usicheke wewe toa ruksa tu🙃
Na wewe unatongoza ili iweje bwana...ndio mwanzo wa kuleta minuksi ndani wakati ndoa yenu bado ni pure na Mungu anaibariki kama wewe mwenyewe ulivyokiri hapa.Ndio nmemuelewa...Ila tangu nioe nkitongoza mwanamke nakataliwa
Hatuchagui uwanja. Halafu sijawahi ingia PM kutongoza, huwa naingia kujibu mtu au kutoa msaada kama kauliza sensitive issue naijuasku hizi hadi kwenye comments mnatuimbisha 🤣🤣🤣🤣
Kweli mambo yamebadilika
Dogo anataka tuoe wakati mbususu tunajipatia bule an watoto wengi tu kitaa.Dah kwa hiyo unatushauri sisi kaka zako tuoe sio?
Naondoka kwenye sherehe kabla hata ya mida wa kula...Umeondoka disco saa 6 usiku
🤣🤣🤣🤣Naondoka kwenye sherehe kabla hata ya mida wa kula...
#MaendeleoHayanaChama
Wee jamaa utawakatisha tamaa wanaotka kuoa.Nina Miaka 32
SINA MPANGO na wala SIFIKIRII KUOA.
#YNWA
Mkeo anatakiwa awe stable saana otherwise ukimzingua kidogo atapata nguvu ya maamuzi hasi kutokana na kauli za bi mkubwa wakeHakika, changamot kubwa iliopo kwa mkwe akihitaj msaad fulan nkishndwa kutekelza kwa wakat anasema maneno mabovu