Tuliochukua namba za wanawake kihuni tujuane

Habari wana JF , Nakumbuka siku mmoja nilienda Bank pale UDSM sasa nikawa najaza jaza zile fomu zao za kuweka pesa. ,nilienda si kwamba ni mwanafunzi wa pale sema tu ni tawi lililo karibu , Sasa wakati najaza jaza , eehn bhanaa eehn ilikuja pisi moja kali kinoma ikakaa karibu yangu nayo ikawa inajaza jaza , yaan kwa maskudi nikawa najichelewesha ili nimtazame vzr , yule demu akajaza fasta akamaliza akaenda kupanga foleni ,Kidume nakaona nisi loose chance nikajaza na mm fasta nikamuwahi ,nikakaa nyuma yake. , Foleni ilikuwa ndefu kdg , so nikaona ndo vzr , niombe namba , sasa kama baada ya 20 min , nikaona demu katoa simu ,eeehn bhanaaa eeehn ,hahaba bonge la simu ni i phone 8 sijui ileee ,nikijicheki nina tecno mbovuuuu kinyamaaa. ,nikaona hapa jau kuomba namba , nikauchunaa , folenii ikawa inasogea tuu , Nikiwa nyuma yake nikawa nawaza naanzaje hapa kuomba namba.., La haulaa...!!! Mtoto c akawa anainyanyua nyanyua ile karatasi aliyojaza jaza , kumbe pale juu kuna sehemu ya namba za simu , Oyaaaa wanangu sikuchelewa nikiwa nyuma yake nikaicopy fastaaa....!! Game ikawa Overrr...
Hebu na wewe
Weka comment hapo tuelezee ulivyo chukua namba za demu kihuni kama mm
Then ikawaje?
 
Nakumbuka mwaka 2014, nimekwenda zangu Maisha Club mida kama ya saa nane hivi usiku, kipindi kile Maisha Club ipo Masaki, kufika pale nje nikamwona demu mmoja mkali sana anatoka ndani ya Club, Mtoto full shombe shombe. Akili yangu ikafanya Kazi fasta, nikachukua simu yangu nikatoa Mlio( Nikaweka Silence Mode), halafu nikairudisha Mfukoni.

Taratibu nikamfata yule demu nikasimama mbele yake nimwambia 'Dada Mambo'
Akajibu 'Poa'
Nikamwambia ' Dada samahani kuna ndugu yangu aliniambia nimfate hapa Club, sasa nimefika na simu yangu imezima chaji naomba nikupe namba zake, mpigie mwambie ndugu yako amefika yupo hapa nje anakusubiri, nisaidie hilo tu dada angu'

Nikaanza kumtajia namba, namba niliyomtajia ni namba yangu, demu akakubali akaanza kuipiga ile namba. Baada ya muda kidogo nakumbuka nikamwambia kama hapokei basi achana nae, nikamshukuru pale demu akasepa.

Alipoondoka tu pale nikamtumia SMS yule demu ' Asante kwa kunipatia namba yako, nilikuwa na shida na namba yako'

Demu alinipigia huku anacheka sana, akasema hata sikutegemea kama lengo lako lilikuwa kupata namba yangu nimekukubali, akaendelea kusema ' ungekuja kichwa kichwa namba usingepata.

Kwa namna nilivyochukua namba yake yule demu alibaki anashangaa. Baada ya siku chache akadondoka ghetto pande za Ilala. Akaliwa vizuri tu. Baada ya wiki mbele toka tugongane tuliachana. Kiburi chake kilinishinda, nilishindwa kumbembeleza pia.
Hi Tamu Sana,best coment ever
 
Mimi hua naombwa namba.... Hizo scenario sijakutana nazo...

Juzi nlikua sokoni..mtu akaja ..eti ooh napenda wadada wanaojistiri naomba number...nikawa namuangalia..akandika akinip eti nimpigie..... Sijui karatasi imepotelea wapi
alafu baada ya miaka 20 inaenda kwa MGANGA ili upate mume 😄
 
Kuna namba ya mtoto mmoja mkali kinoma nilikutana naye pale moro wami branch,
Pisi ni kali kinoma
Ina drive mkoko mkali halafu yuko peke yake kwenye gari, halafu hakuwa na nyodo yule mtoto nikampiga maswali kadhaa alinijibu vizuri sana bila dharau

Ile naomba namba katoa Iphone X
Naangalia fomu yake kaja ku transifer mil 40 kuelekea account nyingine, akanambia karibu kwangu, ukiwa na nafasi nipigie nitakufuata

Sasa hapa naogopa hata kumpigia maana najiona kabisa sifanani naye kwa hadhi
jambazi ilo 😀 nenda ukatolewe figo
 
Umenikumbusha scenario ilionitokea last week wakati natoka kutibiwa TMJ Nmepanda gari ya mbagara nikawa naelekea Kijichi sasa kuna huyo kaka alikosa seat akawa kasimama, afu kuna foleni kinoma mimi nmekaa za katikati yeye yuko mbele basi kukawa na hali fulan hv kila saa tunakutana kwa macho , kuna mda akaanza kunikonyeza , mara tukaanza kuongea kibububu akaniambia kibububu kuwa amenielewa nikiangalia na mimi nilikuwa nmemuelewa kinouma yan he seems to be gentleman, pia nilipenda muonekano wake na dresscode basi akaanza kujivutavuta watu wakishuka anajisogeza ili afike karibu na seat yangu niliokiwa nmekaa akasogea mpaka tukawa close kisha akachukua simu yake akanipa niandike namba hapo watu wakawa wanatoa macho kwenye daladala kama wanga....sisi hatujal wala nini!!! Bas ndo ikaisha hivyo....mpaka sasa tunawasilina afu kumbe yupo single bwana ...
Vipi ashapiga mzigo au bado?
 
Kuna jamaa alipanda daladala za mbagala, ghafla akakaa siti moja na pisi kali, mzee huku na kule anafikiria njia gani aombe namba, si akatoa sim yake na kuidondosha chini akapiga yowe sim yake haionekani. Akamwamboa demu ampe namba zake ipigwe simu ikaita chini ya siti. Kilichoendelea mahaba
Mpaka sasa hii imaongoza, sina hakika kama itatokea nyongine ya kuvunja rekodi.Ngoja nizidi kusoma.
 
Kuna maza moja iko na duka,nikatokea kuielewa sana,ni zile maza ambazo hazitak kuzeeka.
Nikawaza nitafanyaje ili nipate namba yake bila kuulizwa maswali mengi.
Nikapata wazo......nikaenda kwa duka yake nikanunua vitu kama vya buku 5,nikamwambia Kuna binti nimemnunulia vitu hivyo,atakuja kuchukua,ila ntaomba umsaidie sm yako niongee nae,nkamwambia anipe namba akatoa fresh.
Baada kama ya masaa 3 nkampigia na kumwambia arudishe vile vitu mahali pake,nilikuwa nahitaji namba yako tu,alicheka sana
Aisee ulituangusha wanaume wenzio, ulitakiwa kishujaa ulipie mzigo. Sasa kitendo cha kusema hivyo maana yake we ni hohehahe
 
Mimi hua naombwa namba.... Hizo scenario sijakutana nazo...

Juzi nlikua sokoni..mtu akaja ..eti ooh napenda wadada wanaojistiri naomba number...nikawa namuangalia..akandika akinip eti nimpigie..... Sijui karatasi imepotelea wapi
We dada unakuja ni jinsi gani nlivyokuona ukanifanya nianze kuhisi nipo na na familia yangu. Mama unapika wali jikoni. Tafadhali nitafute nitimize ndoto yangu
 
Umenikumbusha scenario ilionitokea last week wakati natoka kutibiwa TMJ Nmepanda gari ya mbagara nikawa naelekea Kijichi sasa kuna huyo kaka alikosa seat akawa kasimama, afu kuna foleni kinoma mimi nmekaa za katikati yeye yuko mbele basi kukawa na hali fulan hv kila saa tunakutana kwa macho , kuna mda akaanza kunikonyeza , mara tukaanza kuongea kibububu akaniambia kibububu kuwa amenielewa nikiangalia na mimi nilikuwa nmemuelewa kinouma yan he seems to be gentleman, pia nilipenda muonekano wake na dresscode basi akaanza kujivutavuta watu wakishuka anajisogeza ili afike karibu na seat yangu niliokiwa nmekaa akasogea mpaka tukawa close kisha akachukua simu yake akanipa niandike namba hapo watu wakawa wanatoa macho kwenye daladala kama wanga....sisi hatujal wala nini!!! Bas ndo ikaisha hivyo....mpaka sasa tunawasilina afu kumbe yupo single bwana ...
Ada ya kozi ya kuongea kibubu bubu ni shi ngap nije nianze kozi apo mapema sana.. Nataka nije unipige pindi
 
Back
Top Bottom