Hahahahahahahaaaaaa hivi TBC ipo??Nilikuwa sijui kama zile picha zinkwenda slow motion au high motion,kwakweli nikaona bora nizime tv maana nilikuwa sielewi kinachoendelea.
Peleka Tv kwa fundi, mimi nimeangalia kupitia tbc hiyo hiyo kitu HD na mambo yalikuwa safi kabisa.Jana ndio ufunguzi wa kombe la Dunia huko Qatar [emoji1203] tumeona mambo mengi sana kupitia ufunguzi huo hasa kwa kutumia chombo chetu cha Taifa yaani TBC kwakweli tunashukuru kwa hilo maana mimi nilikuwa sijalipia king'amuzi changu.
Hoja yangu ni kwamba pale ulipoanz mpira ndio nikajikuta ninachokiona mbona kama kilikuwa kinanichanganya,yaan kuna wakati nikajua nina usingizi au macho yangu yamechoka kutazama [emoji342]??maana sio kwa picha zile nilikuwa nashindwa hata kujua mpira unakwenda wapi,unachezekq au umesimama.
Nilikuwa sijui kama zile picha zinkwenda slow motion au high motion,kwakweli nikaona bora nizime tv maana nilikuwa sielewi kinachoendelea.
WEWE MWENZANGU ULIEANGALIA KUPITIA TBC KWKO ULIYAONA HAYO AU KWANGU UMEME ILIKUW MDOGO???
Mi nilikerwa na uchambuz hafifu na viashiria vya siasa.Ila pongezi kwa kutuonesha.Jana ndio ufunguzi wa kombe la Dunia huko Qatar [emoji1203] tumeona mambo mengi sana kupitia ufunguzi huo hasa kwa kutumia chombo chetu cha Taifa yaani TBC kwakweli tunashukuru kwa hilo maana mimi nilikuwa sijalipia king'amuzi changu.
Hoja yangu ni kwamba pale ulipoanz mpira ndio nikajikuta ninachokiona mbona kama kilikuwa kinanichanganya,yaan kuna wakati nikajua nina usingizi au macho yangu yamechoka kutazama [emoji342]??maana sio kwa picha zile nilikuwa nashindwa hata kujua mpira unakwenda wapi,unachezekq au umesimama.
Nilikuwa sijui kama zile picha zinkwenda slow motion au high motion,kwakweli nikaona bora nizime tv maana nilikuwa sielewi kinachoendelea.
WEWE MWENZANGU ULIEANGALIA KUPITIA TBC KWKO ULIYAONA HAYO AU KWANGU UMEME ILIKUW MDOGO???
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Huku kwetu tulikuwa tunaangalia TANESCO
Hapana Mkuu sidhani kama tatizo ni TV nilijaribu kuangalia pia kwa TBC kupitia hiyo hiyo DSTV maana wameipromote sana kuwa wataonyesha hizi mechi ilikuwa kichekesho,nikaswitch Supersport na mambo yakawa mswano kabisaPeleka Tv kwa fundi, mimi nimeangalia kupitia tbc hiyo hiyo kitu HD na mambo yalikuwa safi kabisa.
tbc na HD imeanza lini.. tafuteni hela tbc sio channel ya kuangalia kombe la dunia..mtangazaji humsikii na picha kama mchuzi birianiPeleka Tv kwa fundi, mimi nimeangalia kupitia tbc hiyo hiyo kitu HD na mambo yalikuwa safi kabisa.
Dah nilifikiri ninaumwa macho na mm!!!iliniumiza macho. Poor/blurred vision ..ila mwanzo mzuri..walitizame na hiliJana ndio ufunguzi wa kombe la Dunia huko Qatar [emoji1203] tumeona mambo mengi sana kupitia ufunguzi huo hasa kwa kutumia chombo chetu cha Taifa yaani TBC kwakweli tunashukuru kwa hilo maana mimi nilikuwa sijalipia king'amuzi changu.
Hoja yangu ni kwamba pale ulipoanz mpira ndio nikajikuta ninachokiona mbona kama kilikuwa kinanichanganya,yaan kuna wakati nikajua nina usingizi au macho yangu yamechoka kutazama [emoji342]??maana sio kwa picha zile nilikuwa nashindwa hata kujua mpira unakwenda wapi,unachezekq au umesimama.
Nilikuwa sijui kama zile picha zinkwenda slow motion au high motion,kwakweli nikaona bora nizime tv maana nilikuwa sielewi kinachoendelea.
WEWE MWENZANGU ULIEANGALIA KUPITIA TBC KWKO ULIYAONA HAYO AU KWANGU UMEME ILIKUW MDOGO???
tbc sio ya kitaifa ni ya cccmHata kama huipendi TBC lakini usiidharu na kuiponda kupita kiasi. Hata kama picha zake hazina ubora kama wa Super sports, ila si kwa kiwango cha chini kama mleta mada alivyoelezea. Mimi nimetazama kupitia Azam, ubora unaridhisha. Hicho ndio chombo chetu cha habari cha Taifa, tukipende na tutoe maoni ya jinsi ya kukiboresha.
Kama wewe uliona ilikuwa vizuri good for you lakini hakuna ubaya pia kwa mleta mada kuelezea kile alicho experience wakati anaangalia.Hata kama huipendi TBC lakini usiidharu na kuiponda kupita kiasi. Hata kama picha zake hazina ubora kama wa Super sports, ila si kwa kiwango cha chini kama mleta mada alivyoelezea. Mimi nimetazama kupitia Azam, ubora unaridhisha. Hicho ndio chombo chetu cha habari cha Taifa, tukipende na tutoe maoni ya jinsi ya kukiboresha.
Imebidi nirudi kuangalia kwa King'amuzi cha Dstv nione kama kweli ni HD maana huwa wanaonyesha kuwa channel husika ni HD nikakuta hola.tbc na HD imeanza lini.. tafuteni hela tbc sio channel ya kuangalia kombe la dunia..mtangazaji humsikii na picha kama mchuzi biriani
tutafute hela tbc sio channel ya kuangalia world cupImebidi nirudi kuangalia kwa King'amuzi cha Dstv nione kama kweli ni HD maana huwa wanaonyesha kuwa channel husika ni HD nikakuta hola.
Basi tuwakemee waache kuitumia Ki CCM. Wao wanayo ya kwao inaitwa Chanel Ten. Mambo ya CCM wayapeleke huko Chanel 10tbc sio ya kitaifa ni ya cccm