Tulioacha chuo tujadili mbinu, athari, faida na changamoto tulizokumbana nazo

Tyrex

JF-Expert Member
Oct 15, 2012
2,280
4,730
Salama, hii thread ni special kwa sisi tulioacha masomo ya chuoni na kufanya mambo mengne so tu naweza kujadili mbinu, athari, faida na changamoto tuliokumbana nazo kipindi Hicho
Binafsi niliacha chuo mwaka wa kwanza na kufanya Biashara pa1 na vibarua vya hapa na pale,, mnaweza kuendelea
 
Me nataka niache aisee maana naona kama napoteza mda tu
 
Mtuu anafeli kwa kiwango gani mpaka ana disco coz me npo first year ...na mambo bado sijayaelewa na hiyo issues ya kudisco inanijiaga ...napambana iyo kitu isinikutee ...aisee mwanzo mgumuu
 
Mbona chuo hakuna bata ambayo tuliambiwa. Tunasoma sana, assignment nyng, quiz za ghafla, bado UE
 
Mtuu anafeli kwa kiwango gani mpaka ana disco coz me npo first year ...na mambo bado sijayaelewa na hiyo issues ya kudisco inanijiaga ...napambana iyo kitu isinikutee ...aisee mwanzo mgumuu
first year bado unafurahia bumu la kwanza hata test bado hujafanya hata moja subiri kuanzia wiki ya saba na nane ndio utakapojua maana ya kudisco
 
Mrejesho wa Uzi huu, baada yakuacha huo Mwaka 2017 nikajiunga tena diploma pale TIA mwaka 2018 na 2020 nikajiunga na degree pale pale TIA NA inshallah mwaka huu na graduate bachelor yangu XXXXX NI hayo tu
 
Congratulations
 
Back
Top Bottom