Binadamu Mtakatifu
JF-Expert Member
- Jan 6, 2021
- 4,337
- 9,079
Kwa yeyote ambaye yupo mpweke geto tuu hamna cha manz wala nini tuambiane. Mimi ndio wakwanza hapa nahesabu nyuzi jf maan sina cha kunfariji
Hiyo aveta yako, HEBU NJOO PM tuya jengeVitu hutumii?
Naomba kiongozi wenu anione mara moja, nimpe hela awaletee kreti la mirinda nyeusi...

Hizo zitaleta nyuki. Hiyo hela inatosha mzinga wa Kvant na club soda.Naomba kiongozi wenu anione mara moja, nimpe hela awaletee kreti la mirinda nyeusi...
Usichanganywe na avatar mkuu wanguHiyo aveta yako, HEBU NJOO PM tuya jenge


kwa ground vitu ni different kabisaUpo na mtu unakuwaje mpwekeUnaweza kuwa na mtu na ukawa mpweke kuliko alie single
Unajidanganya aisee binadamu ukamilifu wetu unakamilishwa na second personAshukuliwe aliyebuni hii kitu inaitwa movie/ series.
Mimi nina miaka sijui maana ya upweke. Naanzaje kuwa mpweke wakati movie zipo? Labda umeme ukatike.
na anguko letu linakamilishwa na second person pia.Unajidanganya aisee binadamu ukamilifu wetu unakamilishwa na second person
Time will tell
very true!!na anguko letu linakamilishwa na second person pia.
huna hatiana anguko letu linakamilishwa na second person pia.