Khaaa!!Tuma picha tujue tatizo nini.
Not single not taken. Nipo tu kuonja onja wapenzi wa watu wengine, nikionja nikinogewa naweka makazi ya muda![]()




Kwa kweli itabidi na mimi nifanye hvo maan ukisubiri wako inachukua muda tutakufa na upweke bora kujichnganya tu
Namimi nikitaka naikataaaSina stress mkuu...niwe na stress wakat nikikutaka ata wewe nakupa![]()
Tupo wengi.Not single not taken. Nipo tu kuonja onja wapenzi wa watu wengine, nikionja nikinogewa naweka makazi ya muda![]()
Naonja bwana nikikuta patamu siondoki 😂😂😂