Tulinganishe biashara na ajira hapa

Kote kote kunanitaji nidhamu ya pesa ili upate mafanikio !

Note ! Hakuna muajriwa tajiri,,, may be uwe mwizi au fisadi ,,,,

Matajiri ni wafanyabiashara! !!!!!

Kuna mtu akili imelemaa hawezi kabisa biashara, kuna mtu pia hawezi kusubiri hela ya mwisho wa mwezi ameshazoea mishe mishe za kila siku
 
Okay return ni 300k per months ni nje ya expenses au. Me ninachojua hawawez linganana ina dependent na trend ya biashara pia, ila biashara inaweza pay mpaka mara 20-50 au zaid kwa mwaka, so Advantage ipo kwny biznes ukicheza vizuri lakni.
Yes iyo ni nje ya matumizi japo kwa kujibana sana

Hivi tukichukulia mshahara wa take home 500k hapo ni ndani au nje ya matumizi
 
Kabla sijachangia kwanza niseme mleta mada we ni muongo.
Baada ya hapo ndo nichangie sasa.
Mimi nimekosa ajira zaidi ya miaka 10 tangu nihitimu. Ninafanya biashara ndogo ndogo, nimeoa nina familia, nalipa kodi na ada. Nyumba yangu inasubiri kupauliwa. My class mates walioajiriwa wananipiga vibomu vya hapa na pale. Ila mpaka sasa sijaelewa kipi bora kujiajiri au kuajiriwa maana bado naaply
 
Mkuu kwanza hongera kwa ku make it up lkn naomba uniambie uwongo wangu ni upi
 
Tupe uzoefu wa ajira kwa upande wako mkuu tujifunze
Niliacha kazi willingly kabisa.
Niliona nahitaji kujipambania kwa kufanya biashara na vijana wadogo.
Nachokifanya naajiri vijana wanne, nawalipa kwasiku.
Nawapa mzigo wa bidhaa za dukani wakauze mtaani kama wamachinga, jioni wananikabidhi hesabu.
Kesho tena nawapa mzigo mwingine...nk.
Wanachofanya ni kwenda location tofauti kuanzia jmosi mpk ijumaa. Mfno
J3-anasambaza maduka ya mtaani kijichi
J4-Mgeni nani
J5-Mbagala kibonde maji
Alh-Misheni
Ijumaa-Chekechea
Jmos-Mb Rangi 3
Uhuru ni wake yani
 
Business gani mkuu
 
Kaka una madini sana ya maana sana sanaa
 
Hongera mkuu nimeipenda idea yako inahamasisha je kuna utofauti wa kipato wakati umeajiriwa na sasa, vipi hali ya kimaisha pia
 
Kuna mdau kwa mwezi anapata m4mwaka wa Saba hana kiwanja! Inategemea Akili Yako na malengo Yako!
 
Ndio maana nimemwambia inategemea na Akili Yako na malengo Yako!,Humu inabidi ujue wewe ulivyo.Kwenye haya maisha ni Wewe na Akili Yako!
Upo sahihi maana lazima muwe na malengo sawa ili tulinganishe but kwa niaminivyo mimi kila kijana ana malengo ya kukua kiuchumi tunatofautiana harakati tu japo hawakosekani ambao ni kula kulala
 
Hongera mkuu nimeipenda idea yako inahamasisha je kuna utofauti wa kipato wakati umeajiriwa na sasa, vipi hali ya kimaisha pia
Asantee, inategemea mkuu kwenye kupiga
Bado niwageni siwapi mzigo wa bei ghali. Huku nje ya ajira nachofurahia ni uhuru wa kipato. Kuna siku utapata sana km wakiuza mali zote, na kuna siku napita na mmoja kuzunguka nae kuona km anajua kushawishi wateja ili watoe order nzuri akipita tena
 
WAKUU nisaidieni basi huwa nawaza HIVI mishahara huwa Ina gundu ? Samahani ka NME wakwaza IKO HIVI👉 Ronaldo analipwa mahela mengi unaambiwa ni MAbilioni SIJUI kwa SAA mara dakika alafu unakuja kushangaaa Miaka YOTE HIYO haja fikia hata bilioni moja ya Dola ya kigogo musk KWENYE zaidi ya MAbilioni ya Dola mia tatu na KITU aliyo nayo JAMAA MPAKA naishiwa nguvu.


Kwishaaaaaa


Bro Alex on la beats yoow..... God is gud
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…