Tulimpa kuku mchele ili tumle vizuri na wali

Trump2

JF-Expert Member
May 28, 2017
1,553
2,608
Na:Netho Ndilito
(Hard working & God Fearing Servant)
.............................................................................

Unapodhamilia kumchinja mfugo kwa ajili ya kwa Ajili ya kitowewo,Lazima alishwe chakula kizuri ili ,kwanza kumuondolea mawazo ya kuwa kitowewo.Lakini ili awe na angalau minofu ya kutafuna kwa starehe.

Nimesema niliandike hili ili kupeleka salamu za Kuwafumbua macho Chadema na vyama shiriki vya UKAWA kuwa,Lowasa si MTU SALAMA kwa mstakabali wa Umoja wao wa UKAWA na vyama shiriki.

Tulimpatia Mbowe mchele adonowe kwa Muda ili tumle vizuri na wali,Safari ya Lowasa KIHAMIA Chadema ilijaa mbwembwe na Matambo ya kila aina,Uliitwa usajili wa Kimataifa,Uliitwa Kubadirisha gia angani,Uliitwa Usajili wa kalne ,na Mbowe na kikundi chake wakashindwa kufikiri na kuhoji kuwa Usajili walioufanya ni Usajili wa mchezaji waliomubeza kila kona ya dunia,Walimsema fisadi,walimsema,sio mwadilifu,nk.Leo ndio Usajili wa Kimataifa.

Unapotaja chama chama Mapinduzi,Usisahau kutaja watu Makini na wanachama wanaojitambua katika kuhoji,kuamua na kifikra."Hoja ya Lowasa kukimbilia chadema " ni sawa na CCM Kuwapa punje za mchele CHADEMA ili siku ya mwisho CHADEMA kiwe kitoweo rahisi na cha bei nafuu kuliwa na Wali.

Mnisamehe,wakati mwingine huwa naandika Nikiwa nimelala,Kama nitakosea mnisamehe,Wiki hili tumeshuhudia serikali yote ikihamia Arusha kufanya na kutekeleza ilani ya Chama cha Mapinduzi.Mh.Rais ,Kipenzi cha watanzania na Uzalendo wa kweli,Aliunguruma Melelani,Kuweka jiwe la msingi ,pamoja na kusisitiza ulinzi wa kulinda Rasilimali za Taifa letu.

Mh.Waziri mkuu,Kijana Majaliwa kassim Majaliwa aliendelea na Kutekeleza moja ya Msingi ya CCM ya "UTU" Tumeahidi kuwaondolea shida akina Mama na wakazi wa Longido kujitwisha Ndoo za MAJI kwa umbali mrefu.Sasa MAJI Longido ni Pua na mdomo,Hizo zote ni ilani za CCM ambazo tuliahidi sasa tunatekeleza.Ni chama gani Tanzania na Afrika kinaweza kufanya yote haya yanayofanywa na CCM?

Ninafahamu,Chadema na washiriki wake ,wamekuwa wakitapatapa na kuhitaji msaada wa Kimataifa kwa kuwa kitowewo ambacho kilihadaiwa na chembe ya mchele.Vyama vimekosa ajenda za Maendeleo, Vimenunuliwa na Kitoweo,wamezibwa midomo kuhoji Ufisadi,kwa sababu Mafisadi wote wamekimbilia Chadema.

"Rungu hupiga kwa uzito wake na sio Ukubwa wake" CHADEMA na vyama shiriki,mmeshindwa kubaini mbinu,Adhima na nia ya kufanya Usajili mliouita wa Kimataifa,ambao kimsingi unaonekana ni Mkubwa,bila kuwa na uzito.Viongozi wa CHADEMA yamkini wanaweza kuwa na Siri nzito ya kusambaratisha vyama vya upinzani wao binafsi na ndio Maana,"Siku zote Tumbo la kuhara halikupi Muda wa kufikiri ufanye nini"

Hili lazima tuliseme ili kusaidia kuwa na vyama vya Upinzani nchini vyenye maslahi kwa wananchi na sio maslahi ya Watu binafsi,Kikundi cha watu au kabla furani.Nikunukuu Mwl Nyerere aliwahi Sema."Tunahitaji kiongozinchi utakayemuangalia usoni ,utaona ishara ya kuchukizwa na Rushwa,Ufisadi,Uzembe,nk.Na huyu ni Rais John Joseph Pombe Magufuli.

Vyama vya Upinzani na washiriki,hamjui kama mnacheza ngoma ambayo hata MDUNDO wake hamuufahamu.Ilimradi mcheze kumfurahisha Mbowe na Lowasa.Ninyi ni Kitowewo cha CCM.kila kona Tanzania Ilani inatekelezwa,CCM imejitahidi kuwekeza kwenye Maendeleo ya Wananchi,Na ndio maana tumekuwa tukishuhudia Mh.Rais akisafiri Usiku na Mchana kuzindua miradi ya maendeleo kuhakikisha watanzania wanaondokana na Umasikini.

Nipende kuwashukuru na kuwapongeza viongozi wangu wa Chama na Serikali kwa kazi nzuri ambayo mmeifanya Chadema na washiriki kwake kujichimbia kaburi wenyewe.Natambua na kuthamini kazi zinazofanywa na viongozi wetu wote.Tulihitaji kiongozi Imara,Mchapakazi,Uzalendo,mwadilofu na mpenda watu Mh.John Joseph Pombe Magufuli.

ONYO:Sio kila kitu unachorushiwa unakula,Punje zingine za mchele ni Glori za baiskeli.Lakini pia acheni kutumia chama kama kikundi cha Familia na cha KUPIGA Dili.

JPM hajaribiwi.Kama mmepotea njia uliza anayejua mtaaa naye ni Jemedali wetu John Joseph Pombe Magufuli ,Mzee wa Ndani ya nchi,Boda to Boda.....
Lakini mkihitajia asafiri NJE ya nchi andikeni Ombi Maalum.(Kiboko cha Asubuhi Kinauma)

Netho Ndilito

Unge edit maandishi yako na kuyarudia tena kuyasoma cjui ungejickiaje. Ndio wale wale akina Bashite
 
Mnahangaika sana damu ya mtu asiye na hatia haitawaacha salama hata kuandika maneno mengi ya aina hii yasiyo na mantiki ni matokeo yake.
 
Back
Top Bottom