Tulime kitunguu pamoja

Tulime kitunguu pamoja

James Hungury

JF-Expert Member
Joined
Jun 8, 2013
Posts
825
Reaction score
612
Habar wadau,
Ninatafuta MTU ambaye ni mwelevu,mwaminifu na mwenye kkujituma ili tulime nae kitunguu hheka nne.shamba zipo nzur sana ambazo zinauhalika WA kutoa gunia si chini ya gunia 80 kwa hheka mmoja,wakati gunia mmoja LA kitunguu ni kati ya laki mbili|laki na nusu.plz naomba kma kuna mtu atakiwa tayr anitafute.namba yangu ni 0744082128.ahsanten
 
Mkuu ni wazo zuri ila kila kitu kinachangamoto zake. Pia umeweka makadiro ya juu kwa mavuno na bei. Kama hayo unayosema ni kweli ungeweka rekodi kidogo kusapoti hilo.
 
Naona kama tangazo lipo nusu
-ungesema mkoa gani unalima
-shamba ukubwa gani
-shamba binafsi au mtakodi
-estimated budget(kuanzia costs za dawa hadi wasimamizi wa kuangalia etc)
-etc
-etc
 
Habar wadau,
Ninatafuta MTU ambaye ni mwelevu,mwaminifu na mwenye kkujituma ili tulime nae kitunguu hheka nne.shamba zipo nzur sana ambazo zinauhalika WA kutoa gunia si chini ya gunia 80 kwa hheka mmoja,wakati gunia mmoja LA kitunguu ni kati ya laki mbili|laki na nusu.plz naomba kma kuna mtu atakiwa tayr anitafute.namba yangu ni 0744082128.ahsanten

Kama ni mwajiriwa itafaa??
 
bdo mi sijaelewa sasa huyo mtu awe ni mshirika au mfanyakazi..?
 
Back
Top Bottom