Tulikuwepo Hukuwepo!

Sana. Mzee alikuwa MORO SHOE, aliwahi kunletea raba nikiwa darasa la pili, wadogo zangu wawili nao waliachiana raba hiyo hiyo!
watoto watundu huwa wanazichana na wembe akiona imekaa muda mrefu haichakai na yeye anataka kitu kipya, hahahahaha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…