Kajolijo JF-Expert Member May 30, 2016 3,364 4,612 Jan 22, 2017 #4 Huyu si kakosea kule shinyanga? Mbona amehamishiwa tena dodoma, makosa yake anayapeleka dodoma, au alisingiziwa hakua na kosa.... Sent from my SM-J110H using JamiiForums mobile app
Huyu si kakosea kule shinyanga? Mbona amehamishiwa tena dodoma, makosa yake anayapeleka dodoma, au alisingiziwa hakua na kosa.... Sent from my SM-J110H using JamiiForums mobile app
bbc JF-Expert Member Jan 18, 2016 3,836 4,145 Jan 22, 2017 #5 "Sasa hivi sitafanya/sitaongea kitu mpaka nimuulize mkuu"!!!
Sagungu 1914 JF-Expert Member Jun 21, 2016 932 579 Jan 22, 2017 #6 Huyu naye sijui ana njaa maskini wa Mungu, alivyo dhalilishwa hivyo bado anakubali cheo kingine.Hakika nimeamini Tz ina njaa
Huyu naye sijui ana njaa maskini wa Mungu, alivyo dhalilishwa hivyo bado anakubali cheo kingine.Hakika nimeamini Tz ina njaa
sumer JF-Expert Member Oct 29, 2016 344 222 Jan 23, 2017 #7 Mh kama akienda kwa mganga huyo mganga waliotumbuliwa wote wataenda