Tulikula nini jana

Sky Eclat

JF-Expert Member
Oct 17, 2012
57,720
215,790
Miaka ile ya siasa za Ujamaa na Kujitemea, hakukuwa na shule nyingi za private, matokeo ya darasa la saba yakitoka na kama hujafaulu ulikuwa ni mzigo mzito kwa wazazi kukusomesha.
Mama mmoja jirani yetu alisema kabla haja a za kurafuta shule ya private alimuuliza mlengwa jana tulikula nini? Kama hukumbuki kilichopikwa Jana home, mama alitafuta option nyingine ya maisha kuliko kutupa pesa private school.
 
Hata hueleweki kabisaaaa....
Kwanza unakosea kosea kuandika.
Hatujui unatoa ushahidi, ushauri ama pongezi. Na umewalenga watu wa namna gani.

Kifupi umekurupuka.
Labda tumuite Shunie mbea aje atueleweshe.
 
Hata hueleweki kabisaaaa....
Kwanza unakosea kosea kuandika.
Hatujui unatoa ushahidi, ushauri ama pongezi. Na umewalenga watu wa namna gani.

Kifupi umekurupuka.
Labda tumuite Shunie mbea aje atueleweshe.
Unatafuta vita na shunie
 
Oi wajameni huyu aliye post hii thread yupo analiwa mbunye., chimbo .....,so msishangae etii
Maana siyo kawaida hii afuu mida mibovu kama hii
 
Ati? Atafutwe mmbea? Usipoelewa kitu sio lazima makosa yaende kwa mwandishi, huenda ukawa sio mlengwa wa kilichoandikwa.

Sky Eclat ameshasema miaka ya ujamaa na kujitegemea, sasa kama haukuwahi kuishuhudia hiyo miaka hauwezi kuambulia kitu kwenye hili bandiko.

Kwa ufupi, hiyo ilikua njia ya kupima IQ, kama hauna uwezo wa kukumbuka tu chakula mlichokula jana, utaweza kwenda kupambana na masomo ya kemia, fizikia na hesabu? Hii ilisaidia mzazi kuona atafute shule au asipoteze pesa.
 
upload_2017-6-5_10-32-34.png


asante
 
Back
Top Bottom