Tulikoswa na kifo tukiwa pamoja

Tulikoswa na kifo tukiwa pamoja

Unawadhalilisha walokole huyo dada alikuwa mlokole feki wewe ulitoa hela ya bandia nawe ukapewa dhahabu feki hivyo ngoma droo dah kwanini kile kifusi hakikuwafunika? Mngeanza kupewa malipo yenu hapahapa. Umepewa last chance ukiichezea...........!!!!!

mkuu, ndiomana nimekuletea ushuhuda huu baada ya kumkumbuka muumba wangu ktk siku za ujana wangu
 
Umejitahidi kuitengeneza hii hadithi.
Sasa inatufundisha nini ?
aliyekusimulia ni nani ? Shangazi/Mjomba.
 
Nasubiria kwenye kuondoa kifusi cha mabaki ya nyumba.....
 
Ingekuwa ni kweli sijui ungefanyaje,
Daaah wakati mwingine wawekeni hao wapenzi wenu kwenye
mazingira mazuri ili msije angukiwa na mabanda ya uani.
 
Kwanza hilo ni onyo kwako, katika 1 Wakorintho 3: 16 - 17 inasema huyo msichana kama kweli ni mlokole ni hekalu la Mungu na kwamba wewe uliyedhamiria kulichezea hekalu hilo Mungu mwenyewe alikuwa akuue. Uliponea chupuchupu we kibaka. Ungeaibika mpaka kwenye mazishi yako. Ulikuwa uokotwe uchi wa mnyama ndani ya gofu. Usirudie tena

Nahisi Mungu mambo mengine anasingiziwa.
 
Kwanza hilo ni onyo kwako, {katika 1 Wakorintho 3: 16 - 17 inasema huyo msichana kama kweli ni mlokole ni hekalu la Mungu na kwamba wewe uliyedhamiria kulichezea hekalu hilo Mungu mwenyewe alikuwa akuue.} Uliponea chupuchupu we kibaka. Ungeaibika mpaka kwenye mazishi yako. Ulikuwa uokotwe uchi wa mnyama ndani ya gofu. Usirudie tena

acha kuongeza maneno kwenye biblia!!! angalia nilipoweka mabano
 
he he he hivi hizi adventure utawasumulia watoto wakikua?
 
Nahisi Mungu mambo mengine anasingiziwa.

Cha,
Kama lipi? Mwenye thread alisema ati aliiacha familia au mwenza home kwake, akasema huyu binti pia ni mlokole na anajulikana hivyo mtaa mzima. Sasa yeye kaenda kumharibu tu wala haoi. Unasema angekufa hapo kwa kuangukiwa na ukuta huo, kijiji/mtaa ungemsifu? Angezikwa na Ofisi yake wakati amedanganya kaenda home kuna tatizo? Jamani hapo Mungu angesingiziwa vipi?
 
Doh..!! Kweli adabuyako ndogo.
Mbona unanikosea hishma?

Kaka Mkubwa,
Hiyo hishma yako ni ipi nilokukosea? Ulishajivujia mwenyewe. Kwenda vizia vijimwana vya wenyewe. Mpaka unadanganya ofisi kuwa ati una dharura. Dharura ni kwenda ku do vitu hivyo saa hiyo?? Hishima uliivunja mwenyewe. Kwanza mshukuru Maulana, kakutoa pale ndani kabla ya dharuba hilo. Je, ungekuwa juu ya mtu, dongo lote likakuangukia? Ingekuwa aibu mpaka ukoo wako weye. Mwenyewe unakiri, ulitoka uchi na kaptura tu hukujali vitambulisho vyako wala uniform ukaviacha vyote pale pale kwenye matope na madongo. Aibuuuu
 
Pole sana, hiyo ilikuwa kwa ajili yako. Sijui ungeificha wapi sura yako. Ninaimani usingekufa (nyumba ya udongo mapaa yake siyo mazito). Ila aibu ingekupata wewe, familia yako na hata kazini kwako.

Nakushauri tubu kwa mchumba wako wa zamani uliyemwacha ndani kwako ukaenda huko kwa mlokole.

Halafu, siyo kila mlokole ameokoka. Wengine ni "mapepo". Kemea kabisa!
 
Mkuu ninaamini mungu alitaka kunionyesha upendo alionao juu yangu
 
Kaka Mkubwa,
Hiyo hishma yako ni ipi nilokukosea? Ulishajivujia mwenyewe. Kwenda vizia vijimwana vya wenyewe. Mpaka unadanganya ofisi kuwa ati una dharura. Dharura ni kwenda ku do vitu hivyo saa hiyo?? Hishima uliivunja mwenyewe. Kwanza mshukuru Maulana, kakutoa pale ndani kabla ya dharuba hilo. Je, ungekuwa juu ya mtu, dongo lote likakuangukia? Ingekuwa aibu mpaka ukoo wako weye. Mwenyewe unakiri, ulitoka uchi na kaptura tu hukujali vitambulisho vyako wala uniform ukaviacha vyote pale pale kwenye matope na madongo. Aibuuuu

mkuu, umefunguka kuliko hata mm muhusika, lol..!!
lakini inapendeza kwani hili jamvi bila watu kama wewe litakua linapwaya.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom