wee amu weeeee ngoja uolewe utaona.
binafsi huwa naamini katika kuwatembelea wazazi hasa msimu wa sikukuu ili wafurahi, muongee na ndugu zako kwa kina na kisha kuombeana. Ikumbukwe kwamba watoto ndio wanaopaswa kufwata wazazi na si wazazi wafwate watoto.
ni lazima kwangu x-mass na mwaka mpya nile ukweni kwangu ( hapa nnajiandaa tarehe 23 saa 11 alfajiri ngoma inanyuka iringaa)
ni lazima sikuu ya pasaka nile kwetu hivyo alhamis kuu ngoma hunyanyukaa kwetuuuuu nikiwa na kids na baba yao. hiyo ni lazima.
kuna miaka ambayo hupenda kuwaalika watu kwangu, nakumbuka kuna mwaka niliwaita wakwe zangu kula x-mass na new yr kwangu. na hapa niliita mawifi shem na baba na mama pamoja na wajukuu. duh ilikuwa bonge la raha ya ajabu manake utafikiri kuna sherehe lol! inapendeza sana kuona mtu anatoka kwake kuja kwako kukusalimia na familia yake mnakaa pamoja kwa wiki 2 hivi ni kula na kunywa tu. sitokaa nisahau. ilikuwa raha sana sana.
pia kuna pasaka niliwaalika baba na mama yangu kwangu but i was realy disappointed as wazazi wa kichaga huwa hawalali kwa mtoto wa kike hata ardhi ipasuke. sikupenda manake waliniambia tena kwa amri "SISI NI WAZAZI HATUTOKI KWETU KULA SIKUKUU KWA MTOTO BALI MTOTO NDO ATUFWATE SISI " ila nilipouliza kisa nn hasa manake mbona kwa kaka wanaendaga?? nikajibiwa yule ni mtoto wa kiume ila kwako wewe sio kwetu huko ni ukweni hatupaswi kupazoea. ..........arrrrgggggggggghhhhhhhhhh yaani nilimjibu tu hubby twende manake ishakuwa tabu.
siyo opposition side , la ila ninakwambia kitu ambacho ni kizuri ni kwenu bwana, na ni vizuri wakat wa sikukuu maana wengi wanakuwa likizo ndiyo maana wanapenda kwenda wakati huo.
Haujakatazwa kwenda kwa watu; tunaangalia umuhimu wa kwenda kwenu / kwa baba yako siku za sikukuu wakati na wewe una mji na watoto; na kibaya zaidi kubeba familia nzima eti "tunaenda kula sikukuu"
Exactly! HAIWEZEKANI BABA NA MAMA WA KICHAGA AKAJA KULA NA KULALA UKWENI, HATA SI HAO TU HATA WAKURYA MA WAKEREWE HAWALALI UKWENI.NI MARUFUKU .
Hayatuhusu. Sasa umeandika kitu gani hapa?? Hizi mada zenye kiwango cha chini pelekeni sehemu nyingine, sio humu JF. Kama huna hoja ya msingi, tulia kimya. Soma michango ya wengine, sio lazima uandike kila kitu.
yaani ungejua jinsi ambavyo unaboa wengine ungejiheshimu. yaani wewe halafu unajiona mjanjaaaaaaaaa kweli kweli kama mjanja njoo na ID yako tuliyoizoeaHayatuhusu. Sasa umeandika kitu gani hapa?? Hizi mada zenye kiwango cha chini pelekeni sehemu nyingine, sio humu JF. Kama huna hoja ya msingi, tulia kimya. Soma michango ya wengine, sio lazima uandike kila kitu.
Una mtazamo mzuri sana! Mnanyanyasika kijinsia them mnadanganyika eti kuna usawa!yaani ktk kitu ambacho ningeweza kukibadili hiki ni namba moja. hivi Lisa unafikiri wanangu mm hawana hamu ya kumwona bibi ama babu yao hapa nyumbani kwao?? kwann walazimike tu kwenda kwao?? mm natamani siku itokee baba yangu aje alale hapa kwangu acheze na wajukuu nitoke job nimkute tupige story jamani mbona wanatunyanyasa sana na huuuu ukwe??
Haa!!!!! lazima niende kwetu 24th Dec. narudi 30th Dec
yaani ungejua jinsi ambavyo unaboa wengine ungejiheshimu. yaani wewe halafu unajiona mjanjaaaaaaaaa kweli kweli kama mjanja njoo na ID yako tuliyoizoea
Wewe badala ya kuwakaribisha waje kwako unaenda kuwapa shida huko uendako! Jiulize utawakaribisha lini?
Semea nafsi yako kwamba hayakuhusu. Hayawahusu wewe na nani? Kama hayawahusu mbona mnachangia? Kidogo kwako ni kikubwa kwangu. Kama unaona una uelewa mkubwa sana zaidi ya wenzako; pita uende zako!
Una mtazamo mzuri sana! Mnanyanyasika kijinsia them mnadanganyika eti kuna usawa!
Umeona eh? Mbege na kisusio kinahuu bana! Haya mabia na kitimoto samtaimz yanachosha.
Hakuna wa kunizuia. Wazazi wawepo wasiwepo kwenda mlimani ndio mpango mzima.
Haya Shime Preta, Kaizer, Kimey, Bigirita, Filipo, sweetlady, Lily Flower, Arushaone, @RR, Cantalisia, Rejao, Mkuu rombo et el..... Tukutane mlimani tarehe zinajongea.... Kuhesabiwa muhimu atiii.
Umeona eh? Mbege na kisusio kinahuu bana! Haya mabia na kitimoto samtaimz yanachosha.
Hakuna wa kunizuia. Wazazi wawepo wasiwepo kwenda mlimani ndio mpango mzima.
Haya Shime Preta, Kaizer, Kimey, Bigirita, Filipo, sweetlady, Lily Flower, Arushaone, @RR, Cantalisia, Rejao, Mkuu rombo et el..... Tukutane mlimani tarehe zinajongea.... Kuhesabiwa muhimu atiii.
ila sasa best kuna hili jambo, hivi baba mkwe(mzaa mkeo) yupo ndani mwako unatoka brum na wife asbh anajua usiku mwanangu kakung'utwa mpera lol! sijui utaimamisha wapi uso.
yaani kitendo cha baba yako kujua ama kuhisi tu kwamba ulipelekewa mpera kinatosha kumwondolea konfo kabisaaa. sasa jambo la ajabu ni kwamba nikienda kwetu na mume wangu huwa tunalala as mr&mrs. na hapo natengewa chumba kabisaa kwa raha zetu............ mmmh! mm yani sijielewi nn ni nn.
nasikia kakubadili jina anakuita et el... kwa hiyo kakukaribisha pia!!sijakupenda hujanikaribisha.