Tulifanyie nini hili deni letu la $190B

uduzungwa

JF-Expert Member
Oct 12, 2016
552
541
Wanajamvi salama.
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza kila mmoja kwa nafasi yake.

Sema hili deni letu tulifanyie nini la muhimu katika nchi yetu.

Ili kila mwananchi aweze kunufaika nalo.

Mie wajenge hospital kubwa kama muhimbili kila mkoa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hao washenzi wakalipe deni la taifa halafu masurufu mengine yaende tu chato yakajenge bandari ya nchi kavu maana hakuna namna

huwezi jua
 
Litalipwa ???mnaanza kununua nepi hats mimba haijatungwa mwacheni jpm na baraza lake wapige kazi
 
Si walishatupangia matumizi yake kuwa kuwa kila Mtanzania atapata Noah moja Mpya kutoka kiwandani Japan na Bashite juzi kati alienda Toyota Japani kuplace order?

Sent from my Vodafone Smart Tab 3G using JamiiForums mobile app
 
Litalipwa ???mnaanza kununua nepi hats mimba haijatungwa mwacheni jpm na baraza lake wapige kazi
Haya ndio matokeo ya Hapa Kazi tu.
Mana bila bro Magu kukaza yule bosi wao asingetimba hapa bongo

Viva Ngosha the don.
Tujipange tu kula matunda ya kazi anayoifanya JPM wetu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom