Tulichofanyiwa kulipoti kazini.

Eraldius

JF-Expert Member
Jun 17, 2011
1,120
906
Wanajamvi mpaka sasa hivi kuna jamaa zangu wananipigia simu wametelekezwa vituoni huko Sengerema.Chaajabu mpaka sasa hawajui ni wapi wamepangiwa kazi na wanataka msaada sehemu ya kulala.Aliye karibu wanaomba msaada Usiku huu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom