johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,695
Watanzania tujifunze uzalendo tuache uoga.Wakati wa skendo ya majengo ya NSSF tuliaminishwa kwamba baadhi ya wafanyabiashara wakiguswa tu nchi itatikisika, wabunge wa wakati ule wakapiga makofi ya kushangilia.
Leo miongoni mwa walewale wafanyabiashara wameguswa na nchi iko tuli kama maji ya mtungini.
Kwa kweli nadharia nyingine si za kutilia maanani.Nafikiria tu kama hatua hizi zingeanza kuchukuliwa wakati ule pengine hata ufisadi aina ya escrow usingefanyika.Watanzania tuwe wakweli na wazalendo!