field marshall1
JF-Expert Member
- Sep 17, 2017
- 1,171
- 2,730
Tumeambiwa tena si mara moja kuwa Makamu wa rais na Waziri mkuu wamehamia Dodoma...ni sawa, lakini mbona kila siku wapo Dar kwenye ofisi zao zingine? Huu uhamiaji Dodoma upoje?
Ni wazi kuna gharama kubwa kuwa na ofisi mbili....sasa serikali inasevu vipi gharama wakati inahudumia ofisi mbili mbili?
Ni wazi kuna gharama kubwa kuwa na ofisi mbili....sasa serikali inasevu vipi gharama wakati inahudumia ofisi mbili mbili?