Camilo Cienfuegos
JF-Expert Member
- Apr 23, 2015
- 19,385
- 68,490
Halafu inaelekea dawa yenyewe ni ya kikohozi haziwagi chungu hizo ila zinaleta usingizi
masaki-gomz hiyo ametishaa sana screw inata ikazwe na nut..
sio kawe-mb rangi tatu? post yako imenifanya nirudie kuangalia hio picha....hao wanaokimbizana nilikuwa sijawaona!!
Siku ya kwanza kuona hiyo sticker nilistaajabu sana. . . . . . .kwa kweli huwa inanikera tu. . . . .
sio kawe-mb rangi tatu? Post yako imenifanya nirudie kuangalia hio picha....hao wanaokimbizana nilikuwa sijawaona!!