Uchaguzi 2020 Tulia Ackson: 2020 nitagombea

akatafute jimbo mitaa ya dodoma dodoma ama tabora tabora huko kwa mbeya watu wanajitambua itakuwa aibu.
Analitambua hilo ndio maana kasema anaweza kugombea popote..

Kama kweli ana nia ya kurudi Mjengoni kupitia jimbo, atafute jimbo lingine, sio mbeya mjini
 
Kwenye urais unasemaje?
 
Mimi namshauri mbeya mjini asiende, wale wasafa hawatabiriki. Bora apambane majimbo ya dsm
 
Gombea uko uko Mjini Mbeya maana uku kijijini hakuna kuongozwa na mwanamke
 
Sura tuuu inatosha kuelezea roho yako
 
Umenena vyema, ni haki yake kama ilivyo haki ya Membe na wengine ndani ya VCM na vyama vingine kugombea Kila baada ya miaka 5
 
Sawa Pinda tumekusikia ila usigombee Mbeya Mjini,mbembeleze Anko wako Agawe Jimbo lolote upewe,kwa yaliyopo hauwezi kushinda hata moja na hakuna wa kumshinda ndani ya CCM kwenye kura za maoni......
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…