View attachment 1167737
Tuache kula kula machips chips tutakuwa mavibonge tusio na faida kukimbia huwezi.
Safi sana mkuu, nayaona majani ya maboga hapo tatizo wengi wanakosea upishi wake kiasi virutubisho vyote vinapotea katika upishi yaani wanapika mboga za majani kana kwamba wanapika makande
Mboga ya majani mpk unaitoa jikoni inatakiwa iwe na ubichi ukiwa unaitafuna ipikwe chini ya dk 5 tu
Wala chips mayai na vifaranga vya kuku karibuni sana.
Mboga zangu wazijua vyema lakini Shadeeya ni hizi hapa
Za kupikwa dakika 5 hizi hizi za maji ya mto msimbazi na madawa kibao...cha kufia?Safi sana mkuu, nayaona majani ya maboga hapo tatizo wengi wanakosea upishi wake kiasi virutubisho vyote vinapotea katika upishi yaani wanapika mboga za majani kana kwamba wanapika makande
Mboga ya majani mpk unaitoa jikoni inatakiwa iwe na ubichi ukiwa unaitafuna ipikwe chini ya dk 5 tu
Ha Ha Ha kuna sabuni sijui niite hivyo, inatumika kuziosha kuondoa hicho unachokihofu then unazipika kwa hiyo uchafu wote huo unatoka inabaki freshZa kupikwa dakika 5 hizi hizi za maji ya mto msimbazi na madawa kibao...cha kufia?