King Shaat
JF-Expert Member
- Aug 30, 2013
- 863
- 835
Ni ya bure kabisa!game ni ya bure au ya kulipia.....?........tusichoshane saa hizi.......
Playstore na pia AppStore nadhani inapatikana. Na hata kwa Windows OS pia ipo.inapatikana wapi?
Ni buregame ni ya bure au ya kulipia.....?........tusichoshane saa hizi.......
Hii hapa:inapatikana wapi?
Shukrani mkuu!
Hahaha, kwanza i'download halafu chagua topic ambayo unahisi/fahamu kuwa unayetaka cheza naye anaifahamu. Mfano, kama mimi naweza cheza topics za Logos, Greek Mythology, General Knowledge, Barcelona (sema kidogo), Name the Job, etc. uta'search tu jina langu halafu utani'challenge kwa hiyo topic. Tukikutana wote online ndo itakuwa mzuka zaidi ili hata ukitaka rematch tunapiga.Nikitaka kucheza na Mtu humu JF nafanyaje? Nataka nikupige KO moja matata.
Ni ya bure kabisa!
Duh, kwa AppStore nilikuwa sifahamu kama wanaiuza. Developers wanabanaga kiaina inapokuja kwenye iOS app community. Mfano game kama Alto, Playstore ni bure sina uhakika kama AppStore itakuwa Free. Mi ni mtumiaji wa Android. Dah ingekuwa fresh sana ungekuja leta some challenge kule.mbona wananiambia ninunue........natumia Appstore.........
wananitaka nini mimi........?.....
Hahaha mkuu sio mbaya uki'brush akili kidogo na challenge ndogondogo. Tuanzie hapa, we shabiki wa timu gani EPL?mi nilishindana mara ya mwisho vdudu af ilikua imla
Hahaha mkuu bundle kuisha litaisha tu hata ukisema uweke kwa ajili ya kusomea emails tu. Na ndio maana nkasema ukipata nafasi.inatafuna bandle kama instagram
mi nikicheza sichezi mechi kumi kama weweHahaha mkuu bundle kuisha litaisha tu hata ukisema uweke kwa ajili ya kusomea emails tu. Na ndio maana nkasema ukipata nafasi.
Umecheza mechi ka ngapi ukaambiwa bundle lako limeisha? Maana juzi kati tu nlikuwa na 100MB na nikacheza mechi zaidi ya 10 bila kuambiwa "kifurushi kimekwisha". Ila ukipata nafasi, karibu mkuu.
Mkuu hizo "mechi 10" ni katika kuelezea hoja yako ya bundle kuisha. Asee kumbe ulikuwa mkali (japo sidhani ka ukirudi utakuta bado unaongoza PB) rudisha ushindani mkuu. Mimi ni game ambayo nimekuwa nayo since 2015 na ndo the best All-Time in Greek Mythology (GM) TZ. Nakumbuka niliachaga hivyo hivyo kama ulivyoachaga wewe, nliondoka nkiwa naongoza GM TZ nkiwa na level 28, nlivorudi miezi ka 3 baadae nkakuta kuna jamaa ndo anashikilia na level 35. Baada ya mechi kadhaa nkarudisha namba.mi nikicheza sichezi mechi kumi kama wewe
wakati naifuta nilikua naongoza prison break tanzania
Hahaha mkuu nliotoka kukuambia naona ndo reality. Sa ivi PB uko wa 4, and it'll take you some time urudishe namba.mi nikicheza sichezi mechi kumi kama wewe
wakati naifuta nilikua naongoza prison break tanzania
umejuaje mi wanne ??Hahaha mkuu nliotoka kukuambia naona ndo reality. Sa ivi PB uko wa 4, and it'll take you some time urudishe namba.