Tukutane NMB, Mshahara umetoka

Kwa Nini unafatilia mshahara wa mtu mzima mwenzako kiasi hicho? (Hapa hamna Cha mdogo wako ni wewe mwenyewe. ...."toka mwezi wa 5" unaongea kama Ni mwaka juzi. Mwezi wa 5 si Ni wiki 3 nyuma? Jamani mwl vibaya hivyo?
Waliopanda madaraja. Mshahara haujarekebishwa . Mdogo Wangu mwalimu kapanda daraja tokea mwezi Wa tano na barua ya kupanda daraja kapewa lakini no changes.
 
Lengo la kuiwahisha hivi ni nini?
 
Huyu mkuu kaamua kutoa mshahara mapema sana sasa watumishi jiandaeni next month mnaweza kuupata by tarehe 26
Miye Nawakumbusha tu kuwa mshahara huo uliotoka ndo huo huo wa kulipia ada za shule za watoto. Shule zinafunguliwa trh 8/7. Serikali wamewahi kwa kuwa wanafunga mwaka wa Fedha. Jiongezeni ninyi wenye mishahara.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…